Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini.

Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KIOTA CHA MARAHA CHA CITY SPORTS LOUNGE CHAZINDULIWA UPYA JIJINI DAR ES SALAAM

jo1Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concept na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta jirani na Askari Monument jijini Dar es salaam maarufu kwa kuonyesha mipira ya ligi mbalimabli za Duniani kote. Uuzinduzi huo umefanyika alhamis wiki hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali. uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

introducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam

 Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam  kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile...

 

10 years ago

Michuzi

Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Posto Bella Resort, Kiota Kipya cha maraha pande za  ya Bunju jijini  Dar es salaam.

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa. 
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi. 
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tujumuike Pamoja leo kucheza wimbo mpya wa Skylight Band “Pasua Twende” kiota cha maraha Thai Village jijini Dar

Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya “PASUA TWENDE”

DSC_0078

Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0099

Vijana wa Skylight Band wakijimwaga na sebene, kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi.

DSC_0102

Sio kwamba wanaanguka la hasha ni mbewembwe za Majembe ya Skylight Band katika kutoa burudani kwa mashabiki wao.

DSC_0118

 

11 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI

 Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

11 years ago

GPL

TUJUMUIKE PAMOJA LEO KUCHEZA WIMBO MPYA WA SKYLIGHT BAND "PASUA TWENDE" KIOTA CHA MARAHA THAI VILLAGE JIJINI DAR‏

Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya "PASUA TWENDE" Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani