Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 23 wakamatwa kwa kuuza holela tanzanite

ZAIDI ya wafanyabiashara 23 wa madini aina ya Tanzanite wamekamatwa na kutozwa faini kwa kufanya biashara bila ya kuwa na leseni katika Mji wa Mererani wilayani Simanjiro na kwenye mitaa ya Jiji la Arusha .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

6 wakamatwa kwa kuuza mtoto Nigeria

Polisi nchini Nigeria wamewakamata watu sita katika eneo la Kusini Mashariki mwa Nigeria kwa tuhuma ya kumuuza mtoto mchanga wa wiki mbili .

 

10 years ago

Mtanzania

Sita wakamatwa kwa kuuza viungo vya binadamu

kamugishaNa Paul Kayanda, Kahama
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewatia mbaroni watu sita wakiwa katika harakati za kuuza viungo vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema watuhumiwa hao walikamatwa Mei 20 mwaka huu saa saba mchana wakiwa katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Mtaa wa Phantom, Kata ya Nyasubi wilayani hapa.

Alisema katika msako huo ulioendeshwa kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ni aibu Kenya, India kuuza Tanzanite nyingi

SI jambo la kufurahia hata kidogo taarifa za Kenya na India kuizidi Tanzania katika mauzo ya vito aina ya Tanzanite nje ya nchi. Tunasema si jambo la kufurahia kwakuwa Tanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 18 wakamatwa kwa ufisadi Brazil

Polisi nchini Brazil wamevamia majimbo sita katika oparesheni kubwa ya kuchunguza ufisadi kwenye kampuni ya Petrobras.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watatu wakamatwa kwa mauaji ya Karegeya

>Watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na mauaji ta mkuu wa zamani wa ujasusi wa Rwanda, Patrick Karegeya aliyekutwa akiwa amekufa kwenye Hoteli ya Sandton mjini Johannesburg, Afrika Kusini wiki moja iliyopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Watu 41 wakamatwa kwa kutishia amani kwenye kampeni

Watu 41 wakiwamo wanawake  tisa wamekamatwa mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali wakati wa kampeni zinazoendelea kuwanadi madiwani na wabunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji jela miaka minne kwa kuuza watu nje

Mchungaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jean Bamana amehukumiwa kwenda jela miaka minne baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh10 milioni kwa kosa la kujihusisha na biashara ya kusafirisha binadamu.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WATATU WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko. 

Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...

 

11 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo, makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani