Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saini zatiwa mahindi meupe kuuzwa Kenya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaSERIKALI imetoa fursa kwa wafanyabiashara wa hapa nchini kuuza mahindi meupe zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tanzania kuuza mahindi Kenya


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu  wafanyabishara  nchini  kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya.,  ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...

 

11 years ago

Habarileo

Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel BenderaMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu

DSCF2342

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC....

 

9 years ago

MillardAyo

Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …

Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa […]

The post Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya … appeared...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA

Mabaki ya nyumba yaliyoteketezwa kwa moto na wafugaji wa kimasaii wakidai eneo la malisho yao.(picha: Elias Kija, Siha, Kilimanjaro)Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.Kwa picha na maelezo...

 

10 years ago

Habarileo

Zutta kuuzwa FC Platinum

MCHEZAJI wa Yanga, Joseph Zutta huenda akauzwa katika timu ya FC Platinum ya Zimbabwe baada ya timu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za usajili: De Gea kuuzwa ?

Mustakabali wa kipa David de Gea kusalia Manchester United upo shakani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani