Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zutta kuuzwa FC Platinum

MCHEZAJI wa Yanga, Joseph Zutta huenda akauzwa katika timu ya FC Platinum ya Zimbabwe baada ya timu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetesi za usajili: De Gea kuuzwa ?

Mustakabali wa kipa David de Gea kusalia Manchester United upo shakani

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YA GURUMO YASALIMIKA KUUZWA

Nyumba aliyokuwa akiishi marehemu Maalim Gulumo.
Mayasa Mariwata/ijumaawikienda
MKE wa aliyekuwa mwimbaji dansi Bongo, marehemu Muhidin Maalim Gurumo (Pichani), Pili Nassor amesema anamshukuru Mungu baada ya watoto wa mumewe kukaa na kukubaliana kutoiuza nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe huyo iliyopo Tabata jijini Dar. Maalim Gulumo enzi za uhai… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pikipiki ya kielektroniki kuuzwa Taiwan

Pikipiki ya kielektroniki ilio na betri zinazoweza kubadilishwa inatarajiwa kuuzwa nchini Taiwan kwa bei ya dola 4,140.

 

9 years ago

Mwananchi

Haruna Niyonzima akubali kuuzwa

Kiungo Haruna Niyonzima ameweka wazi kuwa hawezi kupingana na mpango wa uongozi wa klabu ya Yanga iliyopanga kumuuza.

 

9 years ago

Michuzi

TIKETI ZA STARS, ALGERIA KUUZWA KESHO

TIKETI za mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia chini Urusi mwaka 2018 kati ya Tanzania dhidi ya Algeria ziataanza kuuzwa kesho Ijumaa katika vituo 10 viliyopo jijini Dar es salaam.Magari maalumu yenye stika yataanza kuuza tiketi hizo za mchezo kesho saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 12 jioni, ambapo tiketi zinauzwa kwa shilingi elfu tano (5,000) kwa viti vya rangi ya bluu na kijani na rangi ya machungwa, na elfu kumi (10,000) kwa viti vya VIP B & C.Vituo vitakavyotumika kuuza...

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex ‘kuuzwa’ kwa wachina

Dar es Salaam. Jengo la Machinga Complex linatarajiwa kuuzwa kwa wafanyabiashara wa China kwa Sh86 bilioni na Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipa kodi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kamba iliotumiwa kumnyonga Saddam kuuzwa

Kamba iliotumiwa kumyonga aliyekuwa rais wa Iraq marehemu Saddam Hussein imedaiwa kuuzwa kwa zaidi ya pauni millioni 4.6

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga jengo lake kuuzwa

Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kuzuia kwa muda kupigwa mnada kwa jengo la Shamba la Miti Rongai wilayani Rombo linalomilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani