Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yapinga jengo lake kuuzwa

Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kuzuia kwa muda kupigwa mnada kwa jengo la Shamba la Miti Rongai wilayani Rombo linalomilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU WASAIDIA MJANE KITETO KUPATA JENGO LAKE


TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanikisha kurejesha jengo la mjane Jane Duncan Kaaya ambalo liliporwa na ofisa maendeleo ya jamii wa kata ya Kibaya, Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, Janeth Paulo na kutumiwa kukodishwa kama ghala la kuhifadhi mazao. 
Akizungumza jana Mkuu wa TAKUKURU, Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu akizungumza alisema mjane huyo aliporwa jengo hilo na ofisa huyo wa maendeleo ya jamii wa Kata ya Kibaya Janeth Paulo tangu mwaka 2017 hadi ...

 

9 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la makao makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la makao makuu ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa NMB – Prof. Joseph Semboja(kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Ineke Bussemaker (wapili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam – Saidi Meck Sadiki (kulia) pamoja na wafanyakazi wa NMB.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yemen:Serikali yapinga mazungumzo na waasi

Serikali ya Yemen iliyoko uhamishoni, haitakubali kufanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Houthi

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchina aiomba Serikali Bilioni 3 kujenga jengo la Halmashauri Singida

DSC03668

Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa Singida, Joseph Mchina, akizungumza kwenye kikao maalum cha kupitisha bajeti ya 2015/2016 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la katoliki mjini Singida. Wa pili aliyeketi ni mstahiki meya wa manispaa ya Singida na sheikh wa mkoa wa Singida, Salum Mahami na wa kwanza kushoto ni Makamu meya, Hassan Mkatana wa kwanza kulia ni Katibu tawala wilaya ya Singida.

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, imetoa  maombi maalum...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA OFISI YA MDHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI,PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Wete Pemba (kushoto) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu es Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said (kulia kwa Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo

14

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar                                             

Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na  Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani