Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isitishe posho Bunge la Katiba’

SERIKALI imeombwa kuzuia malipo ya posho kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, badala yake fedha hizo zielekezwe katika huduma za jamii. Kauli hiyo ilitolewa juzi wilayani Rorya mkoani Mara...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba halina msemaji wa Serikali

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wameelezwa kuwa ndani Bunge hilo hakuna Waziri Mkuu, Makamu wa Rais wala mawaziri, wote wana hadhi sawa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuUPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.

 

11 years ago

Mwananchi

Gharama Bunge la Katiba kuathiri bajeti ya serikali

Bajeti ya miradi ya maendeleo iliyopangwa kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2013/2014, huenda isikamilike kutokana bajeti ya Bunge la Katiba kuwa kubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba

 Mfumo wa muundo wa Muungano wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba umeendelea kuwa mzigo kwa Bunge la Katiba kutokana kuwapo kwa msigano mkubwa miongoni mwa wajumbe, licha ya wengi wao kuwa makada wa CCM.

 

11 years ago

Mwananchi

Mikakati Bunge la Katiba: CCM ‘yakomalia’ serikali mbili [VIDEO]

Hata hivyo, msemaji huyo wa CCM alikiri kuwa ili mfumo huu wa serikali mbili uendelee kufanya kazi, lazima baadhi ya mambo yabadilike.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaahidi kuwasilisha hati ya #Muungano Bunge la #Katiba [VIDEO]

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wassira ametoa ahadi hiyo katika kikao cha Bunge hilo Maalum mjini hapa mapema Jumatatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yataja rasmi makundi ya kuunda Bunge Maalumu la Katiba

>Serikali imeyataka makundi mbalimbali ya watu yanayopenda majina yao kuteuliwa kuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kufanya hivyo kabla ya Januari 2, 2014 saa tisa alasiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani