Serikali yataja rasmi makundi ya kuunda Bunge Maalumu la Katiba
>Serikali imeyataka makundi mbalimbali ya watu yanayopenda majina yao kuteuliwa kuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kufanya hivyo kabla ya Januari 2, 2014 saa tisa alasiri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Dec
Rais kuunda Bunge Maalumu
RAIS Jakaya Kikwete amealika makundi mbalimbali kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na wasiozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Michuzi
Tamko Rasmi la watanzania wa Washington DC, Maryland na Virginia kwa Bunge la Katiba na Serikali

Sisi watanzania wa Washington DC, Maryland na Virginia pamoja na vizazi vyetu tunapenda kutoa pongezi kwa Serikali yetu ya Tanzania kwa Mchakato mzima wa Katiba mpya unaoendelea.
Tunapenda Kutoa Tamko Rasmi kwa Bunge la Katiba na Serikali kutoa haki ya Uraia kwa Watanzania Wote popote walipo Duniani. Uraia Wa Mtanzania aliezaliwa Tanzania na Kizazi chake usijali hali na mahala alipo Mtanzania Huyo.
Kutokubaguliwa kwetu kwenye swala hili la Haki ya Kuzaliwa na Kuruhusiwa kwa Uraia Pacha...
11 years ago
GPL
MAKUNDI BUNGE LA KATIBA NI MPASUKO
NIMSHUKURU Mungu kwa kuniwezesha kuwa nanyi leo na kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika hapa, hakika Mungu ahimidiwe. Hivi sasa kuna mkusanyiko wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba bungeni Dodoma, awali kukutana kwao kulitia faraja na matumaini na wananchi wakawa na matarajio na matamanio makubwa kuona katiba mpya inakuja baada ya mijadala makini ya wajumbe. Wengi tunatarajia kuona Tanzania ya kesho ikiwa na haki, usawa,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma
Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba 1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa 2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba kuchangia kwa makundi
>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho ametoa mwongozo wa namna wajumbe wa Bunge hilo wanavyopaswa kuchangia mijadala bungeni.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
‘Hamuwezi kuunda serikali moja,” Werema awaambia wajumbe wa #Katiba [VIDEO]
Jaji Werema alisisitiza kuwa suluhisho la suala la muungano si kuifuta serikali ya Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]
Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
All Afrika Games CAF yataja makundi
Upangaji wa makundi ya All Africa Games umefanywa na Shirikisho la soka barani Afrika, CAF .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania