Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]

Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu na Waandishi wa Habari umesema muundo wa Bunge Maalumu la Katiba ndio chanzo cha vurugu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]

Mivutano imeendelea kuligawa Bunge Maalum la Katiba leo, huku baadhi ya wajumbe wakilalamika kuwa mapendekezo waliyoyatoa kuboresha Kanuni zitakazoliendesha baraza hilo hayakuzingatiwa.

 

11 years ago

Michuzi

Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya .

 

10 years ago

Bongo5

G-Nako adai ubinafsi ni chanzo cha makundi mengine kuvunjika

Rapper wa kundi la Weusi, George Mdemu maarufu kama G-Nako, amesema umoja, upendo pamoja na nidhamu kunalifanya kundi hilo kuendelea kustawi. Rapper huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa kufanya kazi kwa kushirikiana kunalifanya kundi hilo kuendelea kufanya vizuri. “Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni. Makundi mengi […]

 

11 years ago

Mtanzania

Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.

Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj,  lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro, vurugu chanzo cha unyanyasaji wanawake

IMEFIKA wakati Tanzania kupitia Bunge kuridhia Azimio la Umoja wa Mataifa namba 1325 (UN Resolution 1325) ili kukomesha vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa kijinsia wanavyotendewa wananchi wasiokuwa na hatia,...

 

11 years ago

GPL

MAKUNDI BUNGE LA KATIBA NI MPASUKO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuniwezesha kuwa nanyi leo na kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika hapa, hakika Mungu ahimidiwe. Hivi sasa kuna mkusanyiko wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba bungeni Dodoma, awali kukutana kwao kulitia faraja na matumaini na wananchi wakawa na matarajio na matamanio makubwa kuona katiba mpya inakuja baada ya mijadala makini ya wajumbe. Wengi tunatarajia kuona Tanzania ya kesho ikiwa na haki, usawa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la Katiba kuchangia kwa makundi

>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho ametoa mwongozo wa namna wajumbe wa Bunge hilo wanavyopaswa kuchangia mijadala bungeni.

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu Bunge Maalum la Katiba

BUNGE Maalum la Katiba, limeanza kuingia dosari na kulazimika kuahirishwa kabla ya muda wake waliojipangia, baada ya kuwepo malumbano, kuzomeana miongoni mwa wajumbe na wengine kuonesha dhahiri kutaka kupigana ndani ya ukumbi, baada ya kunyanyuka na kuzuiwa na wajumbe wenzao. Hali hiyo ilimlazimu Mwenyekiti wa Muda wa Bunge, Pandu Ameir Kificho, kuahirisha semina hiyo saa 6:13 mchana badala ya saa 7:00 mchana, baada ya wajumbe kuonesha utovu mkubwa wa nidhamu kwa kukaidi agizo lake la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani