Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.

Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj,  lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho. Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamewataka wanasiasa kuacha kutumia mchakato wa Katiba Mpya Inayopendekezwa kusababisha vurugu, migogoro na machafuko kwani nafasi ya kuendeleza amani na utulivu uliopo bado ipo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, baadhi ya wadau wamesema dalili zinaonyesha kuwa huenda kukawa na hali...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO! -2

MARAFIKI naamini wengi tunafahamu kuwa keshokutwa Ijumaa, ndiyo ile siku yetu muhimu kwenye uwanja wa wapendanao. Ni Sikukuu ya Wapendanao maarufu zaidi kama Valentine’s Day. Tulishaona maana na sababu za kuitwa hivyo. Kama mtakumbuka vizuri, nilisema kuwa, siku hiyo isiwe chanzo cha kutesana kwenye mapenzi bali kudumisha na kuongeza chachu katika uhusiano. Unaweza kufanya chochote lakini ukiandaa hafla ya tofauti inaweza...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, UPATU ISIWE CHANZO CHA KUNYANYASA WATOTO WAKO

Jamani mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema sana, mambo mengine mwanamke ni aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa na kufundika, mnakimbilia mambo ya kuiga ndo’ maana ndoa za siku hizi zimekosa baraka, hazina maisha marefu. Jamani hivi wewe mwanamke kichwani kwako kuna ubongo au matope? Kila nikikuangalia sikumalizi kwa mambo ya aibu unayofanya. Kwenye nyumba kuna siri nzito, wanawake tumekuwa tukijijali...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO!

BADO siku tisa tu kuifikia Sikukuu ya Wapendanao ambayo hujulikana zaidi kama Valentine’s Day. Kila mwaka huadhimishwa Februari 14, duniani kote. Umejiandaaje kwa ajili ya siku hiyo? Je, kwako  itakuwa siku ya furaha au chanzo cha mateso kwako na kwa mwenzi wako? Unadhani unatakiwa kufanya nini ili kuifanya siku hiyo kuwa nzuri kwako? Yapo mengi ya kufanya, lakini kabla ya kuingia huko tuone kwanza maana yake, japo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro, vurugu chanzo cha unyanyasaji wanawake

IMEFIKA wakati Tanzania kupitia Bunge kuridhia Azimio la Umoja wa Mataifa namba 1325 (UN Resolution 1325) ili kukomesha vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa kijinsia wanavyotendewa wananchi wasiokuwa na hatia,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu na Waandishi wa Habari umesema muundo wa Bunge Maalumu la Katiba ndio chanzo cha vurugu.

 

11 years ago

Mwananchi

Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]

Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wataja chanzo vurugu za Mbagala

POLISI imeeleza undani wa vurugu za juzi na kusababisha vifo vya watu wa eneo la Mbagala Kongowe Mzinga jijini Dar es Salaam na kusema chanzo ni kundi la vijana wahalifu waliojiita ‘Black Americans’.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wakemea vurugu

Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam inayoundwa na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali, imesema hawatatoa nafasi kwa viongozi wa siasa wanaovunja amani kwenye nyumba za ibada kwa kufanya kampeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani