Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO! -2

MARAFIKI naamini wengi tunafahamu kuwa keshokutwa Ijumaa, ndiyo ile siku yetu muhimu kwenye uwanja wa wapendanao. Ni Sikukuu ya Wapendanao maarufu zaidi kama Valentine’s Day. Tulishaona maana na sababu za kuitwa hivyo. Kama mtakumbuka vizuri, nilisema kuwa, siku hiyo isiwe chanzo cha kutesana kwenye mapenzi bali kudumisha na kuongeza chachu katika uhusiano. Unaweza kufanya chochote lakini ukiandaa hafla ya tofauti inaweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO!

BADO siku tisa tu kuifikia Sikukuu ya Wapendanao ambayo hujulikana zaidi kama Valentine’s Day. Kila mwaka huadhimishwa Februari 14, duniani kote. Umejiandaaje kwa ajili ya siku hiyo? Je, kwako  itakuwa siku ya furaha au chanzo cha mateso kwako na kwa mwenzi wako? Unadhani unatakiwa kufanya nini ili kuifanya siku hiyo kuwa nzuri kwako? Yapo mengi ya kufanya, lakini kabla ya kuingia huko tuone kwanza maana yake, japo kwa...

 

10 years ago

GPL

WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho. Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamewataka wanasiasa kuacha kutumia mchakato wa Katiba Mpya Inayopendekezwa kusababisha vurugu, migogoro na machafuko kwani nafasi ya kuendeleza amani na utulivu uliopo bado ipo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, baadhi ya wadau wamesema dalili zinaonyesha kuwa huenda kukawa na hali...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.

Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj,  lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, UPATU ISIWE CHANZO CHA KUNYANYASA WATOTO WAKO

Jamani mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema sana, mambo mengine mwanamke ni aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa na kufundika, mnakimbilia mambo ya kuiga ndo’ maana ndoa za siku hizi zimekosa baraka, hazina maisha marefu. Jamani hivi wewe mwanamke kichwani kwako kuna ubongo au matope? Kila nikikuangalia sikumalizi kwa mambo ya aibu unayofanya. Kwenye nyumba kuna siri nzito, wanawake tumekuwa tukijijali...

 

10 years ago

Vijimambo

KIFUANGUA KINYWA CHA THE DIVA'S USA VALENTINE'S DAY SHERATON DOWNTOWN SILVER SPRING

Baadhi ya wageni waliohudhuria The Diva's USA Valentine's Day Dinner wakiwa ukumbi wa mapumziko hotel ya Sheraton iliyopo Downtown Slver Spring, Maryland nchini Marekani wakisubili kupata kifungua kinywa huku wageni wengine wakishindwa kuamka kwa uchovu wa hafla hiyo ya Valentine iliojaa starehe, raha na mambo yote ya valentine. Wenyeji wakiwa ndani ya mgahawa wakisubili kuhudumiwa kwa ajili ya kifungua kinywa.Wageni wakiendelea na kifungua kinywa. Kifungua kinywa kikiendelea Habari yenyewe...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST

***   ***   ***   www.iykcolumbus.org   ***   ***   ***Simu: 1-614-664-9564 au 1-614-66-IYK-OH  

 

11 years ago

Mwananchi

Tendo la ndoa; Tiba mbadala ya maradhi ya moyo, ubongo, maumivu ya kichwa?

>Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo  hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi  kiafya tofauti na faraja ya kawaida iliyozoeleka kwa wengi.

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani