Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, UPATU ISIWE CHANZO CHA KUNYANYASA WATOTO WAKO

Jamani mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema sana, mambo mengine mwanamke ni aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa na kufundika, mnakimbilia mambo ya kuiga ndo’ maana ndoa za siku hizi zimekosa baraka, hazina maisha marefu. Jamani hivi wewe mwanamke kichwani kwako kuna ubongo au matope? Kila nikikuangalia sikumalizi kwa mambo ya aibu unayofanya. Kwenye nyumba kuna siri nzito, wanawake tumekuwa tukijijali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.

Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj,  lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...

 

10 years ago

GPL

WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho. Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamewataka wanasiasa kuacha kutumia mchakato wa Katiba Mpya Inayopendekezwa kusababisha vurugu, migogoro na machafuko kwani nafasi ya kuendeleza amani na utulivu uliopo bado ipo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, baadhi ya wadau wamesema dalili zinaonyesha kuwa huenda kukawa na hali...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO! -2

MARAFIKI naamini wengi tunafahamu kuwa keshokutwa Ijumaa, ndiyo ile siku yetu muhimu kwenye uwanja wa wapendanao. Ni Sikukuu ya Wapendanao maarufu zaidi kama Valentine’s Day. Tulishaona maana na sababu za kuitwa hivyo. Kama mtakumbuka vizuri, nilisema kuwa, siku hiyo isiwe chanzo cha kutesana kwenye mapenzi bali kudumisha na kuongeza chachu katika uhusiano. Unaweza kufanya chochote lakini ukiandaa hafla ya tofauti inaweza...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO!

BADO siku tisa tu kuifikia Sikukuu ya Wapendanao ambayo hujulikana zaidi kama Valentine’s Day. Kila mwaka huadhimishwa Februari 14, duniani kote. Umejiandaaje kwa ajili ya siku hiyo? Je, kwako  itakuwa siku ya furaha au chanzo cha mateso kwako na kwa mwenzi wako? Unadhani unatakiwa kufanya nini ili kuifanya siku hiyo kuwa nzuri kwako? Yapo mengi ya kufanya, lakini kabla ya kuingia huko tuone kwanza maana yake, japo kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Chanzo cha watoto mitaani chaelezwa

MOJA ya sababu kubwa ya kuwapo kwa watoto wa mitaani nchini ni wazazi na walezi kuacha kuwajibika na kuwatekelezea haki zao watoto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UNICEF: Vita Syria chanzo cha watoto kutosoma, kucheza

TAKRIBAN watoto 10,000 wameuawa nchini Syria, kutokana na mzozo wa kivita unaoendelea kwa sasa. Mzozo huo unakamilisha miaka mitatu sasa tangu uibuke katika taifa hilo tajiri la mafuta. Halikadhalika, mpaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Uongozi mbaya wa shule chanzo cha ugonjwa wa watoto kupagawa

>Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia wasichana wengi hasa wakiwa shuleni wakipata matatizo ya kuweweseka, kupiga kelele na kuchanganyikiwa kiasi cha kushindwa kuendelea na masomo.

 

5 years ago

Michuzi

UTAPIA MLO WATAJWA CHANZO CHA KIFUA KIKUU KWA WATOTO

ATIZO la utapia mlo linalotokana na ukosefu wa lishe bora kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano linatajwa kuchangia kuongezeka kwa ugonjwa wa kifua kikuu ambao unapoteza maisha ya watoto wengi hapa nchini.

Hivyo,wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wao mlo kamili,mlo bora na kuzingatia kanuni bora za Afya kama njia mojawapo ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Mratibu wa kitengo cha kifua kikuu na Ukoma katika Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kumiliki nyumba kisiwe kigezo cha kunyanyasa wapangaji !

KAMA kuna watu ambao wana hadhi zote za kuwa ‘miungu watu’ wa hapa duniani, basi ni pamoja na baadhi ya wale wenye nyumba za kupangisha hususan Jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani