Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho. Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamewataka wanasiasa kuacha kutumia mchakato wa Katiba Mpya Inayopendekezwa kusababisha vurugu, migogoro na machafuko kwani nafasi ya kuendeleza amani na utulivu uliopo bado ipo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, baadhi ya wadau wamesema dalili zinaonyesha kuwa huenda kukawa na hali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Na Mwandishi Wetu, Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.

Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj,  lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, UPATU ISIWE CHANZO CHA KUNYANYASA WATOTO WAKO

Jamani mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema sana, mambo mengine mwanamke ni aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa na kufundika, mnakimbilia mambo ya kuiga ndo’ maana ndoa za siku hizi zimekosa baraka, hazina maisha marefu. Jamani hivi wewe mwanamke kichwani kwako kuna ubongo au matope? Kila nikikuangalia sikumalizi kwa mambo ya aibu unayofanya. Kwenye nyumba kuna siri nzito, wanawake tumekuwa tukijijali...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO!

BADO siku tisa tu kuifikia Sikukuu ya Wapendanao ambayo hujulikana zaidi kama Valentine’s Day. Kila mwaka huadhimishwa Februari 14, duniani kote. Umejiandaaje kwa ajili ya siku hiyo? Je, kwako  itakuwa siku ya furaha au chanzo cha mateso kwako na kwa mwenzi wako? Unadhani unatakiwa kufanya nini ili kuifanya siku hiyo kuwa nzuri kwako? Yapo mengi ya kufanya, lakini kabla ya kuingia huko tuone kwanza maana yake, japo kwa...

 

11 years ago

GPL

VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO! -2

MARAFIKI naamini wengi tunafahamu kuwa keshokutwa Ijumaa, ndiyo ile siku yetu muhimu kwenye uwanja wa wapendanao. Ni Sikukuu ya Wapendanao maarufu zaidi kama Valentine’s Day. Tulishaona maana na sababu za kuitwa hivyo. Kama mtakumbuka vizuri, nilisema kuwa, siku hiyo isiwe chanzo cha kutesana kwenye mapenzi bali kudumisha na kuongeza chachu katika uhusiano. Unaweza kufanya chochote lakini ukiandaa hafla ya tofauti inaweza...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WATAKA CHANZO CHA SIASA KALI ZINAZOLETEA MIGOGORO KICHUNGUZWE

DSC_0593Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa  Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid, akisoma hotuba kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.DSC_0415Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa wataka chanzo cha siasa kali zinazoletea migogoro zichunguzwe

DSC_0007

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa  Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuhudhuria maadhimisho hayo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Joseph Masasi (wa pili kulia), Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bw. Dunford Makala (katikati) na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania , Bw. Ali Rajab (kulia) pamoja na viongozi wengine taasisi ya watu wenye ulemavu wa...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WATAKA CHANZO CHA SIASA KALI ZINAZOLETEA MIGOGORO ZICHUNGUZWE‏

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuhudhuria maadhimisho hayo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Joseph Masasi (wa pili kulia), Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bw. Dunford Makala (katikati) na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania , Bw. Ali Rajab...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Chanzo cha Katiba Mpya ni sisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa chanzo cha Katiba mpya ni wapinzani, hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbowe alitoa kauli hiyo jana...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu na Waandishi wa Habari umesema muundo wa Bunge Maalumu la Katiba ndio chanzo cha vurugu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani