Mbowe: Chanzo cha Katiba Mpya ni sisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa chanzo cha Katiba mpya ni wapinzani, hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbowe alitoa kauli hiyo jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Mar
‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’
11 years ago
GPL
WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO
11 years ago
KwanzaJamii18 Aug
MBOWE ASEMA MOTO WA KUDAI KATIBA MPYA HAUZIMIKI
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]
11 years ago
Habarileo14 Feb
'Bei mpya ya umeme chanzo cha ugumu wa maisha'
WAKAZI wa Mji wa Sumbawanga wamelalamikia bei mpya ya umeme kwamba imechangia ugumu wa maisha kwao kutokana na vitu vingi kupanda gharama.
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa
Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006. Akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com Berry Black ambaye kwasasa makazi yake yapo Dar es Salaam huku kazi zake zikiwa zinasimamiwa na Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Said Fella….’Chanzo cha […]
The post Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa appeared first on...
11 years ago
Michuzi
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog

Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.


Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
11 years ago
GPL
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
11 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Nkya: Hawa ni kikwazo cha Katiba mpya
TUMESHUHUDIA kuvurugika kwa Bunge Maaalum la Katiba, hali iliyofanya wajumbe wengine kususia. Lakini kauli nyingi zimetolewa kuhusiana na Bunge hilo, mwenendo wake na wengine kushauri livunjwe. Makala haya yanamuangazia Mtetezi...