Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBOWE ASEMA MOTO WA KUDAI KATIBA MPYA HAUZIMIKI

Mwenyekiti wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema moto wa kudai Katiba mpya hautazimwa, kwani kitakachotokana na vikao vya Bunge hilo vinavyoendelea mjini DODOMA BATILI Mbowe aliyasema hayo jana katika mazungumzo maalumu na NIPASHE kuhusu mwitikio wa wito wa Ukawa kwa Rais Jakaya Kikwete, kusitisha Bunge hilo mpaka utakapopatikana mwafaka kati ya makundi mawili yaliyotokana nalo kugawanyika. “Hoja ya msingi ni kwamba, vikao...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Kura ya maoni mwanzo wa kudai Katiba Mpya’

>Wakati Serikali ikihaha kuhakikisha inaandika historia mpya kwa kupitisha Katiba Inayopendekezwa Aprili 30, mwakani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo – Bisimba amesema siku hiyo itakuwa mwanzo wa Watanzania kudai Katiba Mpya.

 

11 years ago

GPL

WASANII ‘KUPIKA NGOMA’ KUDAI MASLAHI KATIKA KATIBA MPYA!

Mwandishi wa habari wa Global Publishers, Brighton Masalu, akifanya mahojiano na wasanii Farid Kubanda ‘Fid Q’ (kushoto) na John Simon ‘Joh Makini’ kulia.
Mtayarishaji wa wimbo huo, Paul Mattysse ‘P- Funk’, katika pozi muda mfupi kabla ya kuingia studioni.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Chanzo cha Katiba Mpya ni sisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa chanzo cha Katiba mpya ni wapinzani, hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbowe alitoa kauli hiyo jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

>Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi amejibu baadhi ya hoja za watu wanaopendekeza muundo wa serikali mbili na kusema Serikali ya Zanzibar ndiyo iliyoanza kutaka serikali tatu mwaka 1984.”

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Warioba akoleza moto Katiba Mpya

Wananchi wakiwa katika foleni ya kuingia katika ukumbi wa mdahalo.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuhusu Katiba inayopendekezwa na kufanyika jijini Dar es Salaam.Mwanaharakati wa mambo ya vijana Humphrey Polepole na aliyekuwa mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba akzungumza katika mdahalo huo.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma


Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba  1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa  2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia

Na Abou Shatry Washington DC

Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.Muwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla)
Aidha amesema matarajio ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kuanza operesheni mpya kudai fedha za ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendesha operesheni mpya nchi nzima ikilenga kuhamasiaha wananchi kudai kurejeshwa kwa fedha zote ambazo zimeporwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi badala ya kuachia wahusika wajiuzulu nafasi zao au wengine kufichwa.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani