WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya
11 years ago
MichuziPinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA: Tumaini linalofifia!
HAPANA shaka kwamba, mchakato wa katiba mpya umeporwa na haki ya wananchi imechukuliwa kwa nguvu. Hakuna, kama ni dhana ya katiba ya wananchi, nadharia yoyote inayosadifu kupatikana kwa katiba itakayoakisi...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
11 years ago
Michuzi25 Feb
HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA
Tazama video hapa...
10 years ago
VijimamboRASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
10 years ago
MichuziMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...