Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


G-Nako adai ubinafsi ni chanzo cha makundi mengine kuvunjika

Rapper wa kundi la Weusi, George Mdemu maarufu kama G-Nako, amesema umoja, upendo pamoja na nidhamu kunalifanya kundi hilo kuendelea kustawi. Rapper huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa kufanya kazi kwa kushirikiana kunalifanya kundi hilo kuendelea kufanya vizuri. “Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni. Makundi mengi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

NAAZIZ AANIKA CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE

First Lady wa The East African Bashment Crew, kundi linaloundwa na wasanii kutoka nchi za Uganda, Bebe Cool na Kenya, Wyre na Naaziz ambaye hivi karibuni alidondoka bongo kwa ajili ya Listening Party ya album ya Mzee Mnyama Tid, 255 ya clouds fm ilipata nafasi ya kuzungumza naye japo anakuaga mgumu wa kutiririka mambo yake, 255 ilimshawishi mwanadada huyu ambaye mwishoni mwa mwaka jana ndoa yao ilitangazwa kuvunjika, chanzo kilikua nini naaziz.

Aidha miezi kadhaa iliyopita habari zilizagaa...

 

9 years ago

Bongo5

Ibra Da Hustler adai ili Nako 2 Nako irudi inahitaji management

Ibra Da Hustler

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amesema kuwa kundi hilo linaweza kurudi tena ila linahitaji management ya kulisimamia kutokana na muziki kubadilika.

Ibra Da Hustler

Da Hustler alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wa kundi hilo hawakuwa na tofauti kubwa kama watu wanavyodhani.

“Ibra Da Hustler na Nako 2 Nako tupo fresh, sema tulikuwa na ups and downs ambazo ni za kawaida, lakini kiukweli tupo fresh tu,” alisema.

“Hatushindwi kurudi, sema game sasa hivi ni gumu so...

 

9 years ago

MillardAyo

Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa

Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006. Akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com Berry Black ambaye kwasasa makazi yake yapo Dar es Salaam huku kazi zake zikiwa zinasimamiwa na Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Said Fella….’Chanzo cha […]

The post Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa appeared first on...

 

11 years ago

Mwananchi

Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]

Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Bunge limeyasahau makundi mengine’

MKUFUNZI wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia cha Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Dorothy Mbilinyi, amesema Bunge limekuwa na malumbano ya serikali tatu, mbili na muungano wakati kuna makundi muhimu...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar jana ameungana na mamia ya wananchi katika kijijicha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo kufanya shughuli za awali za ujenzi wa chanzo kipya cha Maji kwa ajili ya umwagiliaji.


Zoezi hilo lilo anza majira ya saa 3 asubuhi na kumalizika majira ya saa 12 jioni ilishuhudiwa Mbunge Nassar akishiriki kazi za mikono ikiwemo kubeba mawe na kuayapanga katika eneo la mto kwa ajili ya ujenzi wa chanzo hicho.

Akizungumza katika eneo hilo ,Nassar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani