Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ibra Da Hustler adai ili Nako 2 Nako irudi inahitaji management

Ibra Da Hustler

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amesema kuwa kundi hilo linaweza kurudi tena ila linahitaji management ya kulisimamia kutokana na muziki kubadilika.

Ibra Da Hustler

Da Hustler alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wa kundi hilo hawakuwa na tofauti kubwa kama watu wanavyodhani.

“Ibra Da Hustler na Nako 2 Nako tupo fresh, sema tulikuwa na ups and downs ambazo ni za kawaida, lakini kiukweli tupo fresh tu,” alisema.

“Hatushindwi kurudi, sema game sasa hivi ni gumu so...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

G-Nako adai ubinafsi ni chanzo cha makundi mengine kuvunjika

Rapper wa kundi la Weusi, George Mdemu maarufu kama G-Nako, amesema umoja, upendo pamoja na nidhamu kunalifanya kundi hilo kuendelea kustawi. Rapper huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa kufanya kazi kwa kushirikiana kunalifanya kundi hilo kuendelea kufanya vizuri. “Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni. Makundi mengi […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

New Video: G-Nako — Morale

Video ya wimbo wa G-Nako, ‘Morale’ iliyoongozwa na Hanscana.

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Chabba f/ G-Nako – Chapaa

20151224043649

Video ya rapper wa Arusha, Chabba akimshirikisha G-Nako. Wimbo unaitwa Chappa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Joh Makini Ft G Nako — Xo

Wimbo mpya kutoka kwa Joh Makini akimshirikisha G Nako wimbo unaitwa “XO” Producer Sappy

 

9 years ago

Mtanzania

G. Nako kutoka na Niki wa Pili

G-NakoNA THERESIA GASPER

MWANA hip hop, George Mdeme ‘G. Nako’ kutoka kundi la Weusi, anatarajia kuachia video ya wimbo wake wa ‘Laini’ hivi karibuni akiwa ameshirikiana na msanii mwanzake, Nickson Simon ‘Niki wa Pili’.

“Wimbo huu niliufanyia chini ya prodyuza Nahreel, nataraji kufanya video yake wakati wowote nina imani ni wimbo mzuri na utakubalika vema na mashabiki wangu kama walivyopokea nyimbo zangu zilizotangulia,’’ alisema.

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Jamtz.Com

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani