Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


G. Nako kutoka na Niki wa Pili

G-NakoNA THERESIA GASPER

MWANA hip hop, George Mdeme ‘G. Nako’ kutoka kundi la Weusi, anatarajia kuachia video ya wimbo wake wa ‘Laini’ hivi karibuni akiwa ameshirikiana na msanii mwanzake, Nickson Simon ‘Niki wa Pili’.

“Wimbo huu niliufanyia chini ya prodyuza Nahreel, nataraji kufanya video yake wakati wowote nina imani ni wimbo mzuri na utakubalika vema na mashabiki wangu kama walivyopokea nyimbo zangu zilizotangulia,’’ alisema.

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Amefungua Milango Kwetu - Niki Wa Pili

Msanii Niki wa pili ambaye ni moja ya watu wanaounda kundi na kampuni ya Weusi amefunguka na kusema kuwa Msanii Jokate Mwogelo amefungua njia kwa wasanii na wajasiriamali wapya kama wao katika kufanya biashara na kuzidi kutanua wigo wa biashara yao hususani ya Fashion katika maonesho ya kitaifa ya biashara almaarufu kama Sabasaba.

Niki wa Pili alisema hayo alipohojiwa na kituo cha Radio cha East Africa Radio.

"Kwa sisi kama Weusi kiukweli hatukujianda kwa maonyesho ya sabasaba, halafu pia...

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Africanjam.Com

DOWNLOAD: LAINI - G NAKO WARAWARA ft. NIKKI WA PILI (NEW)


Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako

Nikki Wa Pili kutoka Weusi ameingia studio kufanya wimbo mpya ambao amewashirikisha wasanii sita. Wasanii walioshirikishwa kwenye wimbo huo ambao unafaywa kwenye studio ya The Industry ya producer Nahreel, ni Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako. Kupitia Instagram Aika Marealle wa kundi la Navy Kenzo amerepost picha wakiwa studio na kuandika, […]

 

9 years ago

Bongo5

Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos

Rappers wa Weusi wako tayari kulichafua anga la muziki kwa kuachia ngoma tatu mpya wiki Ijayo baada ya uchaguzi. Takribani miezi miwili iliyopita Joh Makini na G-Nako walienda Afrika Kusini kushoot video mbili mpya, moja ikiwa ni collabo ya Joh na rapper wa Afrika Kusini, AKA ‘Don’t Bother’ na nyingine ni single ya G-Nako iitwayo […]

 

9 years ago

Bongo5

Ibra Da Hustler adai ili Nako 2 Nako irudi inahitaji management

Ibra Da Hustler

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amesema kuwa kundi hilo linaweza kurudi tena ila linahitaji management ya kulisimamia kutokana na muziki kubadilika.

Ibra Da Hustler

Da Hustler alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wa kundi hilo hawakuwa na tofauti kubwa kama watu wanavyodhani.

“Ibra Da Hustler na Nako 2 Nako tupo fresh, sema tulikuwa na ups and downs ambazo ni za kawaida, lakini kiukweli tupo fresh tu,” alisema.

“Hatushindwi kurudi, sema game sasa hivi ni gumu so...

 

9 years ago

MillardAyo

Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video)

Rapper anayewakilisha Green City a.k.a Mbeya City kathibitisha kwamba anahitaji watu wake wapate zawadi ya video nzuri kabla haijafikia December 25 2015 ambayo ndio siku ya birthday yake. Jina lake kwenye stage ya muziki anafahamika kama Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia ngoma kali ambayo imeteka kwa nguvu airtime kwenye radio stations ambapo ngoma hiyo […]

The post Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani