Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos

Rappers wa Weusi wako tayari kulichafua anga la muziki kwa kuachia ngoma tatu mpya wiki Ijayo baada ya uchaguzi. Takribani miezi miwili iliyopita Joh Makini na G-Nako walienda Afrika Kusini kushoot video mbili mpya, moja ikiwa ni collabo ya Joh na rapper wa Afrika Kusini, AKA ‘Don’t Bother’ na nyingine ni single ya G-Nako iitwayo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Weusi washoot video 2 mpya na Justin Campos, Afrika Kusini. Moja ni ya Joh Makini na nyingine ya G-Nako

Joh makini na G-Nako ambao wako nchini Afrika Kusini, wamekamilisha kazi iliyowapeleka huko ambayo ni kushoot video mbili. Video ya kwanza ni ya collabo ya Joh Makini na rapper wa Afrika Kusini, AKA ambayo (audio) ilirekodiwa May mwaka huu, rapper huyo alipokuja Tanzania kwenye Zari All White Party. Wimbo huo unaitwa ‘Don’t’ Bother’. Video ya […]

 

10 years ago

Bongo5

Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako

Nikki Wa Pili kutoka Weusi ameingia studio kufanya wimbo mpya ambao amewashirikisha wasanii sita. Wasanii walioshirikishwa kwenye wimbo huo ambao unafaywa kwenye studio ya The Industry ya producer Nahreel, ni Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako. Kupitia Instagram Aika Marealle wa kundi la Navy Kenzo amerepost picha wakiwa studio na kuandika, […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nikki wa Pilli Ft Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Jux ,Vanessa — Safari

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Nikki wa Pilli akiwashirikisha Joh Makini,G Nako,Nahreel,Aika, Jux, Vanessa wimbo unaitwa “Safari” Producer Nahreel

 

11 years ago

GPL

NIKKI WA PILI: SIJAWAHI KUMTUNGIA NGOMA JOH MAKINI

UNAPOZUNGUMZIA makundi ya Hip Hop yanayofanya vizuri kwa sasa ni wazi utalitaja kundi moja maarufu kutoka pande za Arusha, Weusi. Kundi hilo linaongozwa na vichwa vitano vikiwemo, Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’, Nickson Simon (Nikki wa Pili), George Sixtus Mdemu (G Nako), John Simon (Joh Makini) na Bonta. Jamaa wana ngoma nyingi ambazo zote zimeweza kushika chati ikiwa ni pamoja na ya sasa ya Gere, kuanzia ngoma...

 

9 years ago

Bongo5

Shaa kuachia video iliyoongozwa na Justin Campos ‘soon’

12276763_1690577784491299_435922388_n

Hivi karibuni wasanii wamekuwa na tabia ya kushoot video kali na kukaa nazo ndani bila kusema chochote.

12276763_1690577784491299_435922388_n

Shaa ni mmoja wapo. Ukimya wake haumaanishi kuwa hakuna vitu vikubwa vinavyofanyika nyuma ya pazia. Muimbaji huyo miezi kadhaa iliyopita alisafiri hadi Afrika Kusini kwenda kushoot video ya wimbo wake na muongozaji aliyejikusanyia sifa Afrika, Justin Campos.

Mke wa Justin, Candice, amepost picha ya screeshot kwenye Instagram kutoka kwenye kile kinachoonekana ni video ya wimbo huo uitwao...

 

10 years ago

Bongo5

Joh Makini kuachia rasmi video ya ‘ I See Me’ Jumanne hii Dec. 9

Wakati mashabiki bado wanasubiri kwa hamu video ya ‘XO’ ambayo director Nisher amekuwa akitease picha zinazoashiria kuwa itakuwa video kali, rapper wa Weusi Joh Makini anatarajia kutoa video nyingine mpya ya ‘I See Me’ siku ya Jumanne Dec.9. Video ya ‘I See Me’ imefanywa Kenya na chini ya director Mkenya ambaye mwaka huu amefanya video […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos

Shaa MTV

Masaa machache kabla video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ haijatambulishwa rasmi kupitia MTV Base, muimbaji huyo ametupa kionjo kidogo.

Video hiyo imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Justin Campos. Usikose kuitazama leo jioni (Nov.23) saa 12 kamili kupitia MTV Base ‘Spanking New’

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine

Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani