Shaa kuachia video iliyoongozwa na Justin Campos ‘soon’
Hivi karibuni wasanii wamekuwa na tabia ya kushoot video kali na kukaa nazo ndani bila kusema chochote.
Shaa ni mmoja wapo. Ukimya wake haumaanishi kuwa hakuna vitu vikubwa vinavyofanyika nyuma ya pazia. Muimbaji huyo miezi kadhaa iliyopita alisafiri hadi Afrika Kusini kwenda kushoot video ya wimbo wake na muongozaji aliyejikusanyia sifa Afrika, Justin Campos.
Mke wa Justin, Candice, amepost picha ya screeshot kwenye Instagram kutoka kwenye kile kinachoonekana ni video ya wimbo huo uitwao...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos
Masaa machache kabla video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ haijatambulishwa rasmi kupitia MTV Base, muimbaji huyo ametupa kionjo kidogo.
Video hiyo imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Justin Campos. Usikose kuitazama leo jioni (Nov.23) saa 12 kamili kupitia MTV Base ‘Spanking New’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo521 Nov
Video ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Campos kutambulishwa na MTV Base Jumatatu Nov.23
Ile video mpya ya Shaa aka Malkia wa Uswazi, ‘Toba’ aliyoshoot na muongozaji Justin Campos wa Afrika Kusini na kukaa nayo ndani kwa muda mrefu, sasa itatambulishwa Jumatatu ya November 23.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza na kituo cha MTV Base kupitia segement yao ya kutambulisha video mpya ‘Spanking New’, saa 12 za jioni saa za Afrika Mashariki.
Wimbo na video hiyo ni muendelezo wa kazi za Shaa kwenye mkataba wake na Said Fella pamoja na Babu Tale ambao pia ndio walihusika na...
9 years ago
Bongo520 Oct
Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos
9 years ago
Bongo527 Oct
Chege atua South kushoot video na Justin Campos
9 years ago
Bongo506 Nov
Ben Pol aenda Afrika Kusini kushoot video na Justin Campos
Ben Pol ameongezeka kwenye orodha (inayozidi kuwa ndefu) ya wasanii wa Tanzania wenye mipango au walioishaenda Afrika Kusini kushoot video zao za muziki.
Ben Pol akiwa na Justin Campos na timu yake na Rossie M Afrika Kusini
King wa RnB ameamua kufunga safari kwenda Johannesburg kwaajili ya kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha Avril wa Kenya na msanii mpya Rossie M, ambayo amechagua kufanya na director Justin Campos wa Gorilla Films.
Kwanini kamchagua Justin Campos...
9 years ago
Bongo510 Oct
Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos
9 years ago
Bongo510 Dec
Shilole kumfuata Justin Campos South kushoot video ya ‘Nyan’ganyan’ga’
Shilole anatarajia kusafiri kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake ‘Nyan’ganyan’ga’ na Justin Campos.
Shishi ameiambia Bongo5 kuwa wiki ijayo atasafiri kwaajili ya kwenda kufanya kazi hiyo.
“Nashukuru Mungu ngoma yangu (Nyan’ganyan’ga) inafanya vizuri katika media mbalimbali. Hapa ninavyoongea nipo kwenye maandalizi ya kwenda kufanya video Afrika Kusini. Video nafanya na Justin Campos na maandalizi yapo tayari wiki ijayo nitasafiri,” amesema Shilole.
Hata hivyo Shilole...
9 years ago
Bongo526 Nov
Picha: Jux aanza ku-tease video mpya ‘One More Night’ aliyoshoot na Justin Campos
Baada ya Vanessa Mdee kuachia video ya ‘Never Ever’ mwezi uliopita, Jux naye ameanza ku-tease wimbo wake mpya, ikiwa ni ishara kuwa muda si mrefu anaweza kuachia kazi nyingine baada ya ‘Looking For You’.
Moja ya picha za video hiyo
Kwa wiki mbili sasa Jux amekuwa aki-tease picha (screenshot) za video ya wimbo huo, huku akiweka hashtag ‘ONE MORE NIGHT’ kuashiria ndio jina la wimbo.
Kwenye picha hizo ameandika captions hizi:
-Natamani tusingefanya I need #onemorenight
-Nilionja sijashiba...
9 years ago
Bongo514 Dec
Exclusive: Top video director Justin Campos opens up about working with Tanzanian artistes and more
Justin Campos is the award winning music video director from South Africa.
Justin’s involvement in the Entertainment industry began in 1994 when he started writing “groove tracks” in studio. Before the age of seventeen he had progressed to the role of co-producer on advertising jingles for both SA and the international market, working with his brother D-Rex out of a tiny, hand-built studio in Blairgowrie. After a successful run of four years, during which the pair produced soundtracks for...