Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuUPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama yatupa pingamizi la Serikali kesi ya Mawazo

Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza jana ilitupa pingamizi la Serikali la kuitaka itupilie mbali kesi ya kutaka kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na hivyo kutoa fursa kwa familia ya marehemu kufungua kesi ya msingi.     

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yajibu pingamizi la utekelezaji wa maazimio ya Bunge

SERIKALI imewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kupinga utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA PINGAMIZI LA KUSIMAMISHA BUNGE LA KATIBA

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma, iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea, kwa kuwa wametumia kifungu cha sheria kisicho sahihi.
Kadhalika, mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi hilo la awali, kwa kuwa mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba 2 kidogo cha (2) (JALA) ambacho hakina mamlaka ya kufungua maombi hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi yafunguliwa Bunge la Katiba

>Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma kwa sasa liko katika hatihati ya kuendelea baada ya kufunguliwa kesi ya kuhoji madaraka yake.Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana na Mwandishi wa Habari Saidi Kubenea, kupitia kwa wakili wake Peter Kibatala, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kesi Bunge la Katiba kesho

>Hatima ya Bunge la Katiba huenda ikajulikana kesho wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar  es Salaam itakapotoa hukumu ya kesi ya kulipinga Bunge hilo iliyofunguliwa  na mwanahabari Saed Kubenea.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam inaanza kusikiliza kesi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani