Mahakama yatupa pingamizi la Serikali kesi ya Mawazo
Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza jana ilitupa pingamizi la Serikali la kuitaka itupilie mbali kesi ya kutaka kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na hivyo kutoa fursa kwa familia ya marehemu kufungua kesi ya msingi. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Mahakama yatupa pingamizi la Majura
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mahakama yatupa pingamizi la ubunge dhidi ya Dk Mwakyembe
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini
Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.
Na Mwandishi wetu, Arusha
Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini...
9 years ago
StarTV25 Nov
Mahakama kuu Mwanza yaahirisha kesi Kuaga Mwili Wa Alphonce Mawazo
Mahakama kuu Kanda ya Mwanza imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Polisi kuzuia mwili wake usiagwe jijini Mwanza.
Kesi hiyo namba 11 ya mwaka 2015 ambayo imefunguliwa mchana wa leo ikisimamiwa na wakili James Milya na John Malya kutoka Chadema na itatajwa tena Novemba 25 mwaka huu
Mapema asubuhi mahakama kuu kanda ya Mwanza imeruhusu maombi ya baba mdogo wa...
10 years ago
Habarileo05 Sep
Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba
UPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Mahakama yatupa ombi la Kubenea
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mahakama Kuu yatupa ombi la Sheikh Ponda
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda la kufanya mapitio ya uamuzi wa Mahakama ya...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...
9 years ago
Habarileo25 Nov
Pingamizi kuaga mwili wa Mawazo latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupa pingamizi lililowekwa na Serikali katika shauri la kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa hivi karibuni na watu wasiojulikana.