Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajibu pingamizi la utekelezaji wa maazimio ya Bunge

SERIKALI imewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kupinga utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wenje ahoji utekelezaji maazimio ya Bunge

NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema), amehoji sababu ya ratiba ya Bunge la 18 lililoanza jana mjini hapa, kutoonyesha kama Serikali itawasilisha ripoti ya utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge juu ya fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Wenje alitoa kauli hiyo jana baada ya kuomba mwongozo wa spika, akihoji utekelezaji wa maazimio hayo yaliyopendekezwa na Bunge lililopita.
“Mheshimiwa Spika, ukiangalia...

 

10 years ago

Mwananchi

Utekelezaji maazimio ya Bunge uanze sasa

Pamoja na ukweli kwamba sakata la kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow kuhusu uchotwaji wa zaidi ya Sh306 bilioni zilizokuwa zimewekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) halijafikia ukingoni,

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuUPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.

 

10 years ago

Mwananchi

Tofauti za sheria EAC zinavyovuruga utekelezaji wa maazimio

Tunaweza kuwa na maazimio mazuri yanayolenga kuharakisha maendeleo miongoni mwa wanachama, lakini kama yanakinzana na taratibu walizojiweka watu, inakuwa kama mtu anayetwanga maji kwenye kinu akitarajia atapata unga

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL kupinga maazimio ya Bunge leo

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni za IPTL, Pan Africa Power Solutions(T) Limited na Harbinder Singh Seth katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, itaanza kusikilizwa leo baada ya kupangiwa majaji watatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laahirishwa mara mbili kutafuta mwafaka maazimio ya PAC

Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania limeongeza muda wake na kusitisha vikao vyake mara mbili ili kutafuta muafaka juu ya andikaji wa maazimio yatakayotumiwa kuwawajibisha wale wote waliohusika na kashfa ya Escrow.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge

Maazimio ya Bunge yalimtaka Rais kuwawajibisha wote waliotajwa kuhusika na kashfa ya escrow, uamuzi ambao upo mikononi mwa Rais Kikwete

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Tanzania yajibu hatua ya Kenya kufunga mpaka wake na taifa hilo

Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kuingia nchini humo , siku moja tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kufunga mpaka wa Kenya na Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani