Hukumu ya kesi Bunge la Katiba kesho
>Hatima ya Bunge la Katiba huenda ikajulikana kesho wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa hukumu ya kesi ya kulipinga Bunge hilo iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Hukumu ya Kesi ya talaka na mgawanyo wa mali ya mwenye shule za St Mathew kesho
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam, kesho, Oktoba 25 inatarajia kutoa hukumu kwenye kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na mkazi wa Singida, Magreth Mwangu dhidi ya Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mathew na St. Marks,Thadei Mtembei.
Katika madai yake ya Msingi, Mwangu anaomba mahakama imuamuru mdaiwa kutoa Sh. Milioni 800 na makazi ya kukaa mdai na watoto wake.
Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Rajab Tamaambele.
Miongoni...
10 years ago
Habarileo19 Sep
Hukumu kesi Bunge Maalum Septemba 22
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 22 mwaka huu kutoa uamuzi wa ombi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma. Jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Dk Fauz Twaib pamoja na Aloysius Mujulizi limeridhia hivyo jana baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Kesi yafunguliwa Bunge la Katiba
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar
10 years ago
Habarileo05 Sep
Serikali yaweka pingamizi kesi ya Bunge la Katiba
UPANDE wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2hvy3wHuA6qJo6JlK0cm7ED4QudaA6XjaqIWbrHYXNWq7s0EMtVZHVUnaZiggkyYTIICyzrL303mZxoyQQdjioH/unnamed.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE KUUNGURUMA KESHO BUNGE MAALUM LA KATIBA.
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Kikwete: Wajumbe Bunge la Katiba kutangazwa leo, kesho