RAIS KIKWETE KUUNGURUMA KESHO BUNGE MAALUM LA KATIBA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma huku akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi
JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...
11 years ago
GPL
HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO
11 years ago
Michuzi23 Apr