Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete

jk1

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa  mhadhara  katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi  jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana  Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.

jk2

jk3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

JK: Bunge la Katiba halininyimi usingizi

RAIS Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali, uliotawala Bunge Maalumu la Katiba, kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba mpya, ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete. Rais Kikwete ameanza kulihutubia Bunge Maalum la Katiba kutokana na mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mheshimiwa Samuel…

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba

PIX 1

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.

Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KUUNGURUMA KESHO BUNGE MAALUM LA KATIBA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma  huku  akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi na atahutubia Bunge Maalum la Katiba kesho, Ijumaa, Machi 21, 2014. Muda mfupi baada ya kuwa amewasili na kulakiwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kwenye Uwanja wa Ndege...

 

11 years ago

GPL

HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni. Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani