TIKETI ZA STARS, ALGERIA KUUZWA KESHO
TIKETI za mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia chini Urusi mwaka 2018 kati ya Tanzania dhidi ya Algeria ziataanza kuuzwa kesho Ijumaa katika vituo 10 viliyopo jijini Dar es salaam.Magari maalumu yenye stika yataanza kuuza tiketi hizo za mchezo kesho saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 12 jioni, ambapo tiketi zinauzwa kwa shilingi elfu tano (5,000) kwa viti vya rangi ya bluu na kijani na rangi ya machungwa, na elfu kumi (10,000) kwa viti vya VIP B & C.Vituo vitakavyotumika kuuza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Nov
Pambano Taifa Stars, Algeria kesho gumzo
PAMBANO la kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka 2018 kati ya timu ya soka ya Tanzania `Taifa Stars’ dhidi ya Algeria, linalotarajiwa kupigwa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, limekuwa gumzo miongoni mwa mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IulEvqGJ9iQ/VNfTUEYQqsI/AAAAAAAHCgU/Yg0K9pHFGXw/s72-c/download.jpg)
JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-IulEvqGJ9iQ/VNfTUEYQqsI/AAAAAAAHCgU/Yg0K9pHFGXw/s1600/download.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Ni tiketi za elektroniki Stars vs Msumbiji
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mashabiki watakaotaka kuliona pambano baina ya timu ya taifa, Taifa Stars na Msumbiji ‘Mambaz’, watalazimika kununua tiketi za kielektroniki kupitia Kampuni ya Max...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Timu ya Algeria kuwasili kesho
9 years ago
Habarileo11 Nov
Algeria kutua kesho Dar
WAKATI timu yaTaifa ya Algeria ikitarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho kwa mchezo dhidi ya Taifa Stars, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo huku cha chini kikiwa ni Sh 5,000.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Stars kuishtua Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.
9 years ago
Habarileo13 Oct
Stars yaipania Algeria
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Taifa Stars yaitesa Algeria
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Stars kuvunja mwiko Algeria