Pinda: Ruksa wakulima kuuza mahindi nje
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema ruksa kwa wakulima walio na mahindi kuuza nje ya nchi. Hatua hiyo imetokana na wakulima wengi kuzuiwa kuuza mahindi yao nje ya nchi huku wakiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Watanzania waruhusiwa kuuza mahindi nje
SERIKALI imewaruhusu Watanzania kununua mahindi nje ya nchi bila vikwazo vyovyote kutokana na kuwepo na ziada ya chakula nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na...
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
11 years ago
Habarileo21 Mar
Milango wazi kwa wakulima kuuza nafaka nje
MKURUGENZI Idara ya Usalama wa Chakula, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Karim Mtambo amesema milango iko wazi kwa wakulima na wafanyabiashara wanaotaka kuuza chakula nje ya nchi. Alisema hayo jana wakati wa mkutano na vikundi vya kilimo uliofanyika mjini hapa.
11 years ago
Mwananchi27 Aug
Wafanyabiashara ‘stop’ kuuza mahindi
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SERIKALI imeruhusu wafanyabishara nchini kuuza mahindi zaidi ya tani 200,000 nchini Kenya., ili kukabiliana na upungufu wa chakula uliopo nchini humo kwa sasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma, aliyasema hayo mjini hapa jana, wakati akitia saini makubaliano hayo na Katibu Mkuu wa Kilimo wa Kenya, Sicly Kariuki.
Alisema uamuzi huo unatokana na ombi la Serikali ya Kenya, kuuziwa mahindi meupe kutokana na upungufu mkubwa wa chakula...
11 years ago
Mwananchi09 Sep
NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Ruksa kuuza bidhaa India bila kulipia ushuru
11 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wakulima wa mahindi waandamana
WAKULIMA wa mahindi wilayani hapa, Mkoa wa Mbeya wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ili kujua hatma ya ununuzi wa mahindi yao. Wakizungumza na Tanzania Daima, wakulima hao walisema...
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Bei za mahindi, nyanya zawatesa wakulima