Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba wa Garil aliuawa kwa bomu nchini Indonesia

Baba wa Garil aliuawa kwa bomu nchini Indonesia, shambulio hilo la kigaidi lilitokea wakati Garil akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watu 17 wauawa kwa Bomu nchini Nigeria

Takriban Watu 17 wameuawa kwa Bomu mjini Biu nchini Nigeria

 

11 years ago

Habarileo

Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel BenderaMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.

 

10 years ago

GPL

VIGOGO SAKATA LA 'BALI NINE' KUPIGWA RISASI KESHO NCHINI INDONESIA

Raia wa Australia Andrew Chan (kushoto) na Myuran Sukumaran wanaosubiria kuuawa kwa kupigwa risasi kesho asubuhi nchini Indonesia.
Dada wa Sukuraman, Brintha, akisaidiwa na watu kuelekea bandarini wakati akienda kumuaga kaka yake kwa mara ya mwisho kwenye Kisiwa cha Nusakambangan. Michael Chan (katikati mwenye tisheti ya kijani) ambaye…

 

10 years ago

BBCSwahili

Indonesia yajitetea kwa kuwaua 8

Indonesia imetetea uamuzi wake kuwauwa walanguzi wanane wa dawa za kulevya wakiwemo raia saba wa kigeni

 

10 years ago

GPL

37 WAUAWA KWA AJALI YA NDEGE INDONESIA

Umati wa watu wakishuhudia ajali hiyo ilivyotokea. Kikosi cha Usalama wakiondoa taili la ndege hiyo eneo la tukio. Kikosi cha uokoaji wakitathimini namna ambavyo ajali hiyo ilivyotokea na kuharibu majengo. Shughuli…

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mwanajeshi wa Israel aliuawa

Jeshi la Israel limesema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ambaye aliaminika kutekwa na wapiganaji wa kipalestina ameuawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kayla Mueller aliuawa na IS:Marekani

Marekani imethibitisha kuwa Kayla Mueller mfanyakazi wa mashirika ya misaada aliuawa na IS

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa Indonesia anusurika kifungo jela kwa kuingiza mbwa msikitini

Kanda ya video ya mwanamke huyo mwenye akili punguani akiingia msikitini nchini Indonesia ilisambaa sana mwaka uliopita

 

11 years ago

Mwananchi

Monduli waondoa hisia kuwa Sokoine aliuawa

Leo ni miaka 30 tangu aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari eneo la Dumila mkoani Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani