Serikali yakopa bil 50/- kununua mahindi
SERIKALI imekopa Sh bilioni 50 katika benki ya CRDB kwa ajili ya kununua mahindi yaliyojazana kwa wakulima nchini, kutokana na kupata mavuno mengi mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Nov
NFRA kununua mahindi Gairo
11 years ago
Habarileo02 Aug
NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga
WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.
11 years ago
Habarileo10 Aug
Indonesia, Kenya kununua mahindi, mpunga nchini
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio la kununua mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi katika mikoa iliyopo Kanda ya Mashariki.
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Bil. 3.2/- kununua mitambo ya ndegeÂ
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inatarajia kutumia sh. bilioni 3.2 kununua mitambo miwili ya kisasa ya kuongoza ndege ambayo itasaidia kuboresha huduma hizo na usalama katika anga la...
11 years ago
Habarileo13 Jul
Bil 3/- zatengwa kununua kivuko Pangani
SERIKALI imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika bajeti ya mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kununua kivuko cha pili cha Mv Pangani.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Kikwete alipohutubia wakazi wa kijiji cha Bweni wilayani Pangani baada ya kuzindua mradi wa majisafi kijijini hapo.
Alisema lengo la ununuzi wa kivuko hicho ni kuendelea kuboresha huduma ya usafirishaji kwa kurahisisha ufanisi wa shughuli za uchukuzi na kiuchumi wilayani humo.
“Tumeona kuna umuhimu mkubwa wa kuongeza kivuko...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ISIMhKsGNaA/Xrpzs4_jXLI/AAAAAAALp5A/rif3_N-XQm4uwr4Wz-Ws-ULust4rNA3fwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200217-WA0023.jpg)
USHIRIKA WA CHAURU WAHITAJI BIL.11 KUNUNUA MASHINE YA KUONDOLEA MAJI KWENYE MASHAMBA
USHIRIKA wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) unaofanya kilimo katika mashamba ya Ruvu ,Kata ya Vigwaza Bagamoyo, Pwani, Unahitaji sh .bilioni. 11 kwa ajili ya kununua mashine ya kuondoa maji kwenye mashamba ya wanachama wake.
Hatua hiyo inalenga kuondokana na changamoto ya mashamba kuingia maji, hasa nyakati za mvua hali inayosababisha kushindwa kuendeleza kilimo.
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa CHAURU Sadala Chacha, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Serikali kulipa madeni ya wakulima wa mahindi
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Serikali yapata sh. bilioni 15 za kulipa madeni ya Mahindi
SERIKALI Serikali imepata mkopo wa sh. bilioni 15 ambazo zitatumika kulipa kiasi cha madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Iringa akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo katika mkoa huo.
Akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Mazombe kilichopo Ilula...