USHIRIKA WA CHAURU WAHITAJI BIL.11 KUNUNUA MASHINE YA KUONDOLEA MAJI KWENYE MASHAMBA
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
USHIRIKA wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) unaofanya kilimo katika mashamba ya Ruvu ,Kata ya Vigwaza Bagamoyo, Pwani, Unahitaji sh .bilioni. 11 kwa ajili ya kununua mashine ya kuondoa maji kwenye mashamba ya wanachama wake.
Hatua hiyo inalenga kuondokana na changamoto ya mashamba kuingia maji, hasa nyakati za mvua hali inayosababisha kushindwa kuendeleza kilimo.
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa CHAURU Sadala Chacha, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziUSHIRIKA WA CHAURU WADAI WANACHAMA WAKE MIL.153-SADALA
CHAMA Cha Ushirika Wa Wakulima Wa Umwagiliaji -Ruvu,Chalinze mkoani Pwani (CHAURU), kinadai baadhi ya wanachama wake kiasi cha sh.milioni 153 ,madeni yanayochangia kushuka kwa mapato.
Kutokana na deni hilo, ushirika huo umeagiza kila mwanachama anaedaiwa ahakikishe analipa deni lake, hadi ifikapo Novemba mwaka huu. Akizungumzia matokeo ya ukaguzi na mapato na matumizi wakati wa mkutano mkuu wa ushirika huo ,mwenyekiti wa CHAURU ,Sadala Chacha alisema ,wadaiwa walikopa...
9 years ago
Habarileo09 Dec
Magereza wahitaji bil.14/- za chakula
SERIKALI imetakiwa kuwekeza Sh bilioni 13.6 kusaidia Jeshi la Magereza kujitosheleza katika chakula katika mpango waliouandaa wa kilimo cha kibiashara.
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mradi wa majitaka Sinza wahitaji bil. 6/-
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema sh bilioni sita zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha mradi wa kuondoa majitaka katika Kata ya Sinza, Dar es Salaam. Mnyika alitoa kauli hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Kidogozero wahitaji huduma ya maji haraka
WAKAZI wa Kijiji cha Kidogozero, Kata ya Vigwaza, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, wameuomba uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kumsimamia mkandarasi aliyepewa jukumu la kusambaza maji kwenye kijiji hicho...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Halmashauri zatakiwa kununua mashine za matofali
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka halmashauri zote nchini kutenga fedha za kununua mashine za matofali yanayofungana (Tanzania Interlocking Bricks Machine), kwa ajili ya kupunguza tatizo la ajira katika halmashauri zao....
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Pinda aagiza halmashauri kununua mashine
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Bil. 3.2/- kununua mitambo ya ndegeÂ
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inatarajia kutumia sh. bilioni 3.2 kununua mitambo miwili ya kisasa ya kuongoza ndege ambayo itasaidia kuboresha huduma hizo na usalama katika anga la...
10 years ago
Habarileo21 Nov
Serikali yakopa bil 50/- kununua mahindi
SERIKALI imekopa Sh bilioni 50 katika benki ya CRDB kwa ajili ya kununua mahindi yaliyojazana kwa wakulima nchini, kutokana na kupata mavuno mengi mwaka huu.
11 years ago
Habarileo13 Jul
Bil 3/- zatengwa kununua kivuko Pangani
SERIKALI imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika bajeti ya mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kununua kivuko cha pili cha Mv Pangani.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Kikwete alipohutubia wakazi wa kijiji cha Bweni wilayani Pangani baada ya kuzindua mradi wa majisafi kijijini hapo.
Alisema lengo la ununuzi wa kivuko hicho ni kuendelea kuboresha huduma ya usafirishaji kwa kurahisisha ufanisi wa shughuli za uchukuzi na kiuchumi wilayani humo.
“Tumeona kuna umuhimu mkubwa wa kuongeza kivuko...