Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kidogozero wahitaji huduma ya maji haraka

WAKAZI wa Kijiji cha Kidogozero, Kata ya Vigwaza, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, wameuomba uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kumsimamia mkandarasi aliyepewa jukumu la kusambaza maji kwenye kijiji hicho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

USHIRIKA WA CHAURU WAHITAJI BIL.11 KUNUNUA MASHINE YA KUONDOLEA MAJI KWENYE MASHAMBA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI

USHIRIKA wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) unaofanya kilimo katika mashamba ya Ruvu ,Kata ya Vigwaza Bagamoyo, Pwani, Unahitaji sh .bilioni. 11 kwa ajili ya kununua mashine ya kuondoa maji kwenye mashamba ya wanachama wake.
Hatua hiyo inalenga kuondokana na changamoto ya mashamba kuingia maji, hasa nyakati za mvua hali inayosababisha kushindwa kuendeleza kilimo.
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa CHAURU Sadala Chacha, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi...

 

11 years ago

Michuzi

mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani

Na Frank Mvungi- Maelezo  Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni jijini Dar es salaam mwaka 2015 baada ya miundombinu yake kukamilika.   Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw.William Gatambi wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.  Bw. Gatambi alisema kuwa mara baada ya kukamilika kwa miundo mbinu ya mradi huo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chalinze wakosa huduma ya maji

WAKAZI wa Chalinze na vitongoji vyake wanaotegemea kupata maji kutoka chanzo cha Mto Wami, wako katika kipindi kigumu kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwa zaidi ya wiki moja. Wakazi...

 

11 years ago

Habarileo

Wajapani kuboresha huduma za maji

SHIRIKA la Misaada la Maendeleo la Japan (JICA) limesema litaimarisha mradi wa huduma za maji safi na salama Zanzibar. Limesema lengo la hatua hiyo ni kuongeza uzalishaji wa huduma hiyo kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yaimarisha huduma za maji

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha huduma za maji safi na salama kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Huduma za maji, umeme zimekua’

Wakati huduma za umeme na maji zikilalamikiwa na wananchi kwamba hazijaboreshwa, takwimu zilizotolewa na Serikali zinaeleza kuwa huduma hizo zimekua mara mbili zaidi mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Huduma ya maji Dar yarejea tena

BAADA ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.

 

10 years ago

StarTV

Huduma za umeme, maji, mafuta zalalamikiwa.

Na Blaya Moses,

Dodoma.

 

Huduma za umeme, maji safi na usafi wa mazingira na bei ya mafuta nchini zimeongoza kwa kulalamikiwa na wananchi katika baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA kutokana na kuonekana kutokidhi mahitaji ya watumiaji.

Mamlaka zinazohusika na huduma hizo zimeshauriwa kutoa taarifa za matatizo yanayojitokeza mapema ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji watumiaji nao wakitakiwa kuwasilisha malalamiko yao katika baraza hilo.

 

Hayo yamebainika mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani