Huduma ya maji Dar yarejea tena
BAADA ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Huduma ya treni yarejea Kampala
5 years ago
MichuziHuduma ya Intaneti Vodacom yarejea
Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Arsenal yarejea tena kileleni mwa ligi
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Kukosekana kwa Huduma ya Maji jijini Dar
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), limetangaza tatizo la upatikanaji wa huduma ya Maji katika maeneo yote yanayohudumiwa na mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu chini pamoja na baadhi ya maeneo ya Mji wa Bagamoyo mkoani Pwani kutokana na mtambo huo kuzimwa kwa wastani saa 24 siku ya Jumapili tarehe 13/12/2015.
Sababu ya kuzimwa kwa mtambo huo ni kuruhusu kufanya matengenezo na maboresho ya njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Akiongea...
9 years ago
MichuziDAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo
Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.
Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...
9 years ago
MichuziDAWASCO YATANGAZA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MAJI JIJINI DAR
Sababu ya kuzimwa kwa mtambo huo ni kuruhusu kufanya matengenezo na maboresho ya njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Akiongea na...
10 years ago
MichuziTAARIFA YA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA SIKU MBILI JIJINI DAR
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo kukosa...
9 years ago
MichuziSerikali Kuboresha Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Chanzo cha Maji cha Ruvu Chini na upanuzi wa mtambo wa kusafishia maji.
Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Millenium Challenge Co-operation umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 66.24 na unatarajiwa kukamilika wakati wowote baada ya kukamilika kwa kazi ya kulaza bomba linalosafirisha maji toka Ruvu chini kuja...