Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo
Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.
Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIziE9N6wDzK6U40Cs*Zx1yMnGD5QuoxEDDRis4xOB3ji7w89VDuQqahVIYPkwundAoIfzVLWFQKbyeDHVbtB0l/DSC_0056.jpg?width=650)
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s72-c/unnamed.jpg)
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa
![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Huduma ya Tigo Pesa kusitishwa kwaajili ya uboreshaji
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania itasitisha huduma zake maarufu za kutuma na kupokea fedha ya Tigo Pesa wikendi hii kwa muda wa saa 17 ili kufanya maboresho ya huduma hiyo.
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kampuni ya simu jijini Dar es Salaam inasema kuwa kusitishwa kwa huduma ya Tigo Pesa kuanzia Jumamosi usiku hadi Jumapili mchana utakuwa mwendelezo wa zoezi la uboreshaji wa huduma za kifedha za simu kwa takribani siku saba, “ kuifanya huduma ya Tigo Pesa kuwa ya kasi, imara...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MC94Kwn2qog/UwHBfQwZTgI/AAAAAAAFNfs/5JXHcqTKoiU/s72-c/unnamed+(2).jpg)
NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s72-c/Staz.jpg)
TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s1600/Staz.jpg)
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...