TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kinarejea leo Dar es Salaam kutoka Bulyanhulu mkoani Shinyanga ambapo kiliweka kambi kwa ajili ya mechi ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu.
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI
11 years ago
GPLVIPAJI 36 VYATAJWA MABORESHO TAIFA STARS
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo
Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.
Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...
10 years ago
Habarileo03 Sep
Stars yarejea na kutamba
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, imerejea nchini alfajiri ya jana ikitokea Uturuki huku kocha wake mkuu Charles Mkwasa akisema hawaiogopi Nigeria.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Stars yarejea, matumaini kibao
MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulirejea juzi jioni ukitokea kupiga kambi nchini Botswana huku Kocha Mart Nooij akiwa na matumaini makubwa ya kuifunga Msumbiji katika mechi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Stars yarejea kambini Mbeya
KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kesho kinatarajia kwenda jijini Mbeya kuendelea kujifua kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji itakayochezwa wiki mbili zijazo, mjini Maputo, Msumbiji....
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Harambee stars yarejea nyumbani