Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIPAJI 36 VYATAJWA MABORESHO TAIFA STARS

Release No. 045
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Machi 17, 2014 Jopo wa wang’amuzi vipaji limetangaza majina ya wachezaji 36 waliopataikana katika mchakato wa maboresho ya Taifa Stars ulioshirikisha mechi za mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema jopo hilo liling’amua vipaji 143 katika mchakato, lakini waliochukuliwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Ikiwa chini ya Kocha Mart Nooij, Stars Maboresho itapiga kambi mkoani humo hadi Desemba 6 mwaka huu ambapo itarejea jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Taifa. Wachezaji walioingia...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kinarejea leo Dar es Salaam kutoka Bulyanhulu mkoani Shinyanga ambapo kiliweka kambi kwa ajili ya mechi ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu.
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makocha 40 wasaka vipaji Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeteua jopo la makocha wazawa 40 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar kung’amua vipaji katika mkakati wake wa kuboresha timu ya taifa, Taifa Stars....

 

11 years ago

GPL

40 KUNG’AMUA VIPAJI UBORESHAJI TAIFA STARS

Taifa Stars. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeteua kikosi cha makocha 40 kutoka sehemu mbalimbali, Tanzania Bara na Zanzibar ili kung’amua vipaji katika mpango wa kuboresha timu ya Taifa (Taifa Stars). Makocha hao ambao watafanya kazi hiyo katika michuano maalumu ya mikoa wanatakiwa kuripoti katika ofisi za TFF siku ya Jumamosi (Februari 8 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwa ajili ya kupewa maelekezo zaidi....

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...

 

10 years ago

BBCSwahili

Stars maboresho kuivaa Rwanda

Stars maboresho itapambana na Rwanda katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani