Makocha 40 wasaka vipaji Taifa Stars
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeteua jopo la makocha wazawa 40 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar kung’amua vipaji katika mkakati wake wa kuboresha timu ya taifa, Taifa Stars....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?
Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.
9 years ago
MichuziSERIKALI HAIJATOA TAMKO LA KUTOWALIPA MAKOCHA WA TAIFA STARS
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inakanusha taarifa zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi la tarehe 24.12.2015 yenye kichwa cha habari “JPM kutolipa makocha Stars”.
Serikali kupitia Wizara inayohusika na michezo haijatoa tamko la kutowalipa makocha wanaofundisha timu ya Taifa Stars kama ilivyoripotiwa na gazeti hilo.
Suala la malipo ya makocha wa Taifa Stars linashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Serikali, pindi maamuzi yatapofikiwa, serikali itatoa maelekezo...
11 years ago
GPLVIPAJI 36 VYATAJWA MABORESHO TAIFA STARS
Release No. 045
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Machi 17, 2014 Jopo wa wang’amuzi vipaji limetangaza majina ya wachezaji 36 waliopataikana katika mchakato wa maboresho ya Taifa Stars ulioshirikisha mechi za mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema jopo hilo liling’amua vipaji 143 katika mchakato, lakini waliochukuliwa...
11 years ago
GPL40 KUNG’AMUA VIPAJI UBORESHAJI TAIFA STARS
Taifa Stars. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeteua kikosi cha makocha 40 kutoka sehemu mbalimbali, Tanzania Bara na Zanzibar ili kung’amua vipaji katika mpango wa kuboresha timu ya Taifa (Taifa Stars). Makocha hao ambao watafanya kazi hiyo katika michuano maalumu ya mikoa wanatakiwa kuripoti katika ofisi za TFF siku ya Jumamosi (Februari 8 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwa ajili ya kupewa maelekezo zaidi....
9 years ago
Mwananchi24 Dec
JPM kutolipa makocha Stars
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litalazimika kutafuta vyanzo vipya vya mapato yake ili kumlipa kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwassa baada ya Serikali kueleza kuwa hakuna ulazima wa kuendelea na utaratibu wa kuwalipa makocha wa timu za Taifa katika uongozi wa awamu ya tano.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Makocha waipa neno beki ya Stars
Makocha Mecky Mexime, Fred Minziro na Jackson Mayanja wamebainisha matatizo makuu matatu yanayoisumbua safu ya ulinzi ya timu ya taifa (Taifa Stars), ambayo yanaweza kuwagharimu katika harakati za kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa
Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Macho yote vipaji vipya Stars leo
WAKATI timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikishuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo kucheza pambano la kirafiki la kimataifa dhidi ya Burundi, Kocha wa...
10 years ago
GPLMAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12
Mwamuzi akiwakagua wachezaji. Kikosi cha timu ya Villa Kids kikiwa katika pozi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania