Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Macho yote vipaji vipya Stars leo

WAKATI timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikishuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo kucheza pambano la kirafiki la kimataifa dhidi ya Burundi, Kocha wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUVUMBUA VIPAJI VIPYA, TUKUTANE PALE KATI JIONI YA LEO‏

Kikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata Ukodak mbele ya jukwaa. Joniko Flower akichana mistari huku wenzake wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka.…

 

11 years ago

GPL

MACHO YOTE LEO NI GURUMO 53 TCC CLUB CHANG’OMBE

HATIMAYE ile siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi, imewadia, ni GURUMO 53 ndani ya viwanja vya TCC Club, Chang’ombe leo Jumamosi Disemba 14. Kama tangazo linavyojionyesha, ni tamasha kubwa la muziki wa dansi la kustaafu kwa gwiji Muhidin Maalim Gurumo aliyeitumikia fani hiyo kwa miaka 53 mfululizo. Gurumo ataimba angalau wimbo mmoja au zaidi wa kila bendi aliyopitia katika safari yake ndefu kimuziki. Hadi kustaafu kwake...

 

10 years ago

GPL

MTIBWA WATAFUTA VIPAJI VIPYA KWA AJILI YA LIGI KUU

Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar, Zubeir Katwila (aliyenyoosha mkono) akiwafanyia usaili wachezaji hao.
Picha zingine vijana wakioneshana ujuzi katika kujaribu bahati yao. KOCHA wa Mtibwa Sugar,  Mecky Maxime  na Msaidizi wake, Zubeir Katwila, leo walikuwa na kazi ya kuwachuja wachezaji wapya waliofika kwenye mazoezi ya timu hiyo jijini  Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiunga na… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya

Kuzaliwa na kufa siyo tukio linalojitokeza katika maisha ya binadamu pekee bali hata kwa makundi mbalimbali ya kijamii hata burudani.

 

11 years ago

Mwananchi

Hivi sasa macho yote Brazil.

Fainali za Kombe la Dunia 2014 zinaanza Alhamisi hii nchini Brazil huku timu za Amerika Kusini zikipewa nafasi kubwa ya kulibakiza kombe hilo kwenye ardhi yao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Macho yote yaelekezwa Sudan Kusini

UN umesema upo tayari kuchukua hatua haraka iwapo rais wa Sudan Kusini Salva Kiir hatotia saini makubaliano ya amani na waasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Macho yote kwa Arsenal, Chelsea

Kipa Petr Cech amesisitiza Arsenal itasahau yaliyotokea katika Ligi ya Mabingwa kwa kushinda mchezo wao dhidi ya Tottenham Hotspur, huku Jose Mourinho akiwa na furaha kidogo wakati Chelsea itakapokuwa ugenini kuivaa Stoke.

 

11 years ago

Mwananchi

Macho yote Qunu: Buriani Tata Madiba

Huzuni na simanzi viliyateka maeneo ya Mthatha na Qunu katika Jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini baada ya kuwasili kwa mwili wa rais wa kwanza mzalendo wa nchi, Nelson Mandela.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho yote CCM kwa Warioba leo 

MACHO na masikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yatakuwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba, kuona kama mapendekezo yao ya kupinga muundo wa muungano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani