Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi sasa macho yote Brazil.

Fainali za Kombe la Dunia 2014 zinaanza Alhamisi hii nchini Brazil huku timu za Amerika Kusini zikipewa nafasi kubwa ya kulibakiza kombe hilo kwenye ardhi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Macho yote kwa Arsenal, Chelsea

Kipa Petr Cech amesisitiza Arsenal itasahau yaliyotokea katika Ligi ya Mabingwa kwa kushinda mchezo wao dhidi ya Tottenham Hotspur, huku Jose Mourinho akiwa na furaha kidogo wakati Chelsea itakapokuwa ugenini kuivaa Stoke.

 

9 years ago

BBCSwahili

Macho yote yaelekezwa Sudan Kusini

UN umesema upo tayari kuchukua hatua haraka iwapo rais wa Sudan Kusini Salva Kiir hatotia saini makubaliano ya amani na waasi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho yote CCM kwa Warioba leo 

MACHO na masikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yatakuwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba, kuona kama mapendekezo yao ya kupinga muundo wa muungano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho yote vipaji vipya Stars leo

WAKATI timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikishuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo kucheza pambano la kirafiki la kimataifa dhidi ya Burundi, Kocha wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Macho yote Qunu: Buriani Tata Madiba

Huzuni na simanzi viliyateka maeneo ya Mthatha na Qunu katika Jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini baada ya kuwasili kwa mwili wa rais wa kwanza mzalendo wa nchi, Nelson Mandela.

 

11 years ago

GPL

MACHO YOTE LEO NI GURUMO 53 TCC CLUB CHANG’OMBE

HATIMAYE ile siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi, imewadia, ni GURUMO 53 ndani ya viwanja vya TCC Club, Chang’ombe leo Jumamosi Disemba 14. Kama tangazo linavyojionyesha, ni tamasha kubwa la muziki wa dansi la kustaafu kwa gwiji Muhidin Maalim Gurumo aliyeitumikia fani hiyo kwa miaka 53 mfululizo. Gurumo ataimba angalau wimbo mmoja au zaidi wa kila bendi aliyopitia katika safari yake ndefu kimuziki. Hadi kustaafu kwake...

 

11 years ago

Mwananchi

Misafara ya timu kivutio cha macho Brazil

Misafara ya timu mbalimbali kutoka mazoezini kwenda hoteli, au kutoka hotelini kwenda katika mechi na kurudi imebakiwa kuwa vivutio vya hali ya juu nchini Brazil. Lakini msafara wa Brazil una mbwembwe zaidi.

 

11 years ago

GPL

ZIMEBAKI SIKU 100 ZA DUNIA YOTE YA SOKA KUELEKEA BRAZIL

Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani