MTIBWA WATAFUTA VIPAJI VIPYA KWA AJILI YA LIGI KUU
Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar, Zubeir Katwila (aliyenyoosha mkono) akiwafanyia usaili wachezaji hao. Picha zingine vijana wakioneshana ujuzi katika kujaribu bahati yao. KOCHA wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime na Msaidizi wake, Zubeir Katwila, leo walikuwa na kazi ya kuwachuja wachezaji wapya waliofika kwenye mazoezi ya timu hiyo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiunga na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015
9 years ago
Mwananchi07 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea
10 years ago
Mwananchi09 Feb
LIGI KUU BARA: Ngassa aichakaza Mtibwa
10 years ago
Michuzi24 Sep
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Macho yote vipaji vipya Stars leo
WAKATI timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikishuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo kucheza pambano la kirafiki la kimataifa dhidi ya Burundi, Kocha wa...
9 years ago
MichuziWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Twanga Pepeta: Miaka 20 ya uhai wake ikikuza vipaji, kuibua vipya
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND YAZIDI KUVUMBUA VIPAJI VIPYA, TUKUTANE PALE KATI JIONI YA LEO