Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea

Msimu mwingine kwa Mtibwa Sugar. Ni rahisi kutabiri kwamba maisha yao yataendelea kuwa vile vile kama ilivyokuwa kwa msimu uliopita. Wapo katika Ligi kwa misimu 18 mfululizo tangu walipopanda Ligi Kuu mwaka 1996.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU: Mbeya City, wapo ‘round about’, wajichagulie njia

Nchi ilibadilika kuwa rangi ya zambarau wakati timu ya Mbeya City ilipopanda Ligi Kuu na kucheza katika viwanja mbalimbali nchini msimu wa 2013/2014. Popote walipokwenda, popote walipopita, ungeweza kusikia harufu ya Mbeya City. Joto lao lilikuwa kali.

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Ngassa aichakaza Mtibwa

>Mabao mawili ya Mrisho Ngassa yalitosha kuipa Yanga ushindi mnono wa magoli 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar jana kwenye Uwanja Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Majimaji FC imepandishwa na Mswahili, itashushwa na Mzungu?

Mpira unazidi kurudi katika nyumba zake na Songea ni moja kati ya nyumba za soka ambazo mpira ulihama kwa miaka mingi.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Ndanda kuchele kweli au giza litaendelea?

Mwandishi mashuhuri wa zamani wa vitabu vya upelelezi, Mmarekani James Hadley Chase aliwahi kuandika kitabu alichokiita ‘The way the Cookie crumbles’. Ndani ya hadithi alikuwa anafumbia jinsi ambavyo biskuti tamu ilikaribia kuanguka wakati ikielekea mdomoni.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Mgambo hukumbuka buti dakika za majeruhi

Unahitaji roho ya ajabu kuwa shabiki wa damu wa timu ya Mgambo ya Tanga. Kwa msimu wa pili mfululizo imefanikiwa ‘kuondoka katika chumba cha wagonjwa mahututi sekunde chache kabla ya daktari hajakata tamaa’.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Prisons ianze kuja na majibu siyo maswali

Wengi waliamini kuwa katika msimu uliopita, 2014/15 Prisons ingekuja na majibu ya ubovu wao wa msimu wa 2013/14 kwa kufanya vizuri zaidi, cha ajabu haikuja na majibu na kwa mwaka wa pili mfululizo ilinusurika katika siku ya mwisho ya msimu.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Kagera Sugar, ni wakati wa kusaka pepo au moto

Miezi 15 iliyopita, klabu ya Kagera Sugar yenye makazi yake katika mkoa anaotoka Rais wa TFF, Jamal Malinzi ilishika nafasi ya tano ikiwa na pointi 38. Pia,  miezi miwili iliyopita imemaliza nafasi ya sita ikiwa ikiwa na pointi 32.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : JKT Ruvu iache kuishi kama Mlima Kilimanjaro

Maisha lazima yabadilike. Wakati mwingine hata jiwe husogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Inategemea kama limepigwa teke na mwanadamu, au limetumika kwa kuokotwa na kumrushia ndege aliyekaa katika mti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani