Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI LIGI KUU: Mbeya City, wapo ‘round about’, wajichagulie njia

Nchi ilibadilika kuwa rangi ya zambarau wakati timu ya Mbeya City ilipopanda Ligi Kuu na kucheza katika viwanja mbalimbali nchini msimu wa 2013/2014. Popote walipokwenda, popote walipopita, ungeweza kusikia harufu ya Mbeya City. Joto lao lilikuwa kali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea

Msimu mwingine kwa Mtibwa Sugar. Ni rahisi kutabiri kwamba maisha yao yataendelea kuwa vile vile kama ilivyokuwa kwa msimu uliopita. Wapo katika Ligi kwa misimu 18 mfululizo tangu walipopanda Ligi Kuu mwaka 1996.

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wageni wa Ligi Kuu mmeiona Mbeya City?

Hivi karibuni, timu za Polisi Moro, Stand United ya Shinyanga na Ndanda United ya Mtwara zilikata tiketi ya kucheza Ligi Kuu Bara baada ya kufanya vizuri katika mechi zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam FC, Mbeya City zimetia fora Ligi Kuu

KAMPENI ya miamba 14 kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyoanza Agosti 24, mwaka jana, imefikia tamati mwishoni mwa wiki. Ligi hiyo imehitimishwa kwa rekodi ya aina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtihani wa timu ngeni Ligi Kuu na nyayo za Mbeya City 2013/14

TIMU ngeni katika Ligi Kuu ya msimu ujao ambao utaanza Septemba 20, ni Ndanda FC ya Mtwara, Polisi ya Morogoro na Stand United ya Shinyanga zikiziba nafasi ya zilizoshuka ambazo...

 

9 years ago

MillardAyo

Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26

Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeya City. Huu ni mchezo wa 13 kwa klabu ya Yanga ambao ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi. Yanga ambao ndio wanatajwa kuwa […]

The post Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani