UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Prisons ianze kuja na majibu siyo maswali
Wengi waliamini kuwa katika msimu uliopita, 2014/15 Prisons ingekuja na majibu ya ubovu wao wa msimu wa 2013/14 kwa kufanya vizuri zaidi, cha ajabu haikuja na majibu na kwa mwaka wa pili mfululizo ilinusurika katika siku ya mwisho ya msimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Sep
UCHAMBUZI WA LIGI KUU BORA: Coastal Union, wakati wa kukimbia na siyo kutembea
Msimu mwingine kwa Coastal Union. Wagosi wa Kaya. Maisha yanataka nini zaidi kwao? Wameendelea kuwepo katika Ligi Kuu wakipunga upepo na msimu uliopita walishika nafasi ya tano. Coastal wanarudi katika msimu mwingine wakiwa na matumaini mapya zaidi.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Ndanda kuchele kweli au giza litaendelea?
Mwandishi mashuhuri wa zamani wa vitabu vya upelelezi, Mmarekani James Hadley Chase aliwahi kuandika kitabu alichokiita ‘The way the Cookie crumbles’. Ndani ya hadithi alikuwa anafumbia jinsi ambavyo biskuti tamu ilikaribia kuanguka wakati ikielekea mdomoni.
9 years ago
Mwananchi09 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Mgambo hukumbuka buti dakika za majeruhi
Unahitaji roho ya ajabu kuwa shabiki wa damu wa timu ya Mgambo ya Tanga. Kwa msimu wa pili mfululizo imefanikiwa ‘kuondoka katika chumba cha wagonjwa mahututi sekunde chache kabla ya daktari hajakata tamaa’.
9 years ago
Mwananchi11 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Majimaji FC imepandishwa na Mswahili, itashushwa na Mzungu?
Mpira unazidi kurudi katika nyumba zake na Songea ni moja kati ya nyumba za soka ambazo mpira ulihama kwa miaka mingi.
9 years ago
Mwananchi03 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Kagera Sugar, ni wakati wa kusaka pepo au moto
Miezi 15 iliyopita, klabu ya Kagera Sugar yenye makazi yake katika mkoa anaotoka Rais wa TFF, Jamal Malinzi ilishika nafasi ya tano ikiwa na pointi 38. Pia, miezi miwili iliyopita imemaliza nafasi ya sita ikiwa ikiwa na pointi 32.
9 years ago
Mwananchi08 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : JKT Ruvu iache kuishi kama Mlima Kilimanjaro
Maisha lazima yabadilike. Wakati mwingine hata jiwe husogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Inategemea kama limepigwa teke na mwanadamu, au limetumika kwa kuokotwa na kumrushia ndege aliyekaa katika mti.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Stand, yetu macho, kusikia tumesikia mengi kwao
Kuna timu iliyokuja kwa mkwara msimu uliopita kuliko Stand United? Hapana. Jina lenyewe liliashiria kwamba ni timu ya wananchi ambayo imetoka katika eneo la wananchi. Kila mtu alihisi kwamba wangekuwa ‘Mbeya City mpya’.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania