Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA LIGI KUU BORA: Coastal Union, wakati wa kukimbia na siyo kutembea

Msimu mwingine kwa Coastal Union. Wagosi wa Kaya. Maisha yanataka nini zaidi kwao? Wameendelea kuwepo katika Ligi Kuu wakipunga upepo na msimu uliopita walishika nafasi ya tano. Coastal wanarudi katika msimu mwingine wakiwa na matumaini mapya zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Coastal Union, JKT Ruvu vitani Ligi Kuu leo

TIMU ya Coastal Union na maafande wa JKT Ruvu leo zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu bara. Coastal Union itamkaribisha ndugu yake African Sports kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga huku JKT Ruvu ikiwa mwenyeji wa maafande wenzao wa Prisons Mbeya.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Prisons ianze kuja na majibu siyo maswali

Wengi waliamini kuwa katika msimu uliopita, 2014/15 Prisons ingekuja na majibu ya ubovu wao wa msimu wa 2013/14 kwa kufanya vizuri zaidi, cha ajabu haikuja na majibu na kwa mwaka wa pili mfululizo ilinusurika katika siku ya mwisho ya msimu.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Kagera Sugar, ni wakati wa kusaka pepo au moto

Miezi 15 iliyopita, klabu ya Kagera Sugar yenye makazi yake katika mkoa anaotoka Rais wa TFF, Jamal Malinzi ilishika nafasi ya tano ikiwa na pointi 38. Pia,  miezi miwili iliyopita imemaliza nafasi ya sita ikiwa ikiwa na pointi 32.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI TANGA IKITOKEA PEMBA ILIKOWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU


Askari wa usalama barabarani akiongoza msururu wa mashabiki wa Coastal Union ilipowasili jijini Tanga ikitokea Pemba ilikoweka kambi ya mwezi mzima kujiandaa na ligi kuu ya VODACOM

Mashabiki wa Tanga wakiipokea timu yao ya Coastal UnionMKUU wa wilaya ya Tanga, Mhe Halima Dendego leo ameongoza mapokezi ya timu ya Coastal Union yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ndege jijini Tanga ambapo timu hiyo ilikuwa ikitokea Visiwani Pemba ilipokuwa imeweka kambi kwa muda wa mwezi mzima.Akizungumza wakati wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Coastal yakamia Ligi Kuu bara

UONGOZI wa Coastal Union ya Tanga, imeamua kufanya usajili wa nguvu kwa lengo la kupata kikosi bora kitakachofanya vizuri katika Ligi Kuu ya Bara iliyopangwa kuanza Septemba 20, ikishindanisha timu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara ni Yanga&Coastal

Yanga waonya wachezaji wake kutoamini “ndumba” ama uchawi katika kushinda mechi na badala yake wajitume uwanjani.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Mgambo hukumbuka buti dakika za majeruhi

Unahitaji roho ya ajabu kuwa shabiki wa damu wa timu ya Mgambo ya Tanga. Kwa msimu wa pili mfululizo imefanikiwa ‘kuondoka katika chumba cha wagonjwa mahututi sekunde chache kabla ya daktari hajakata tamaa’.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU: Mbeya City, wapo ‘round about’, wajichagulie njia

Nchi ilibadilika kuwa rangi ya zambarau wakati timu ya Mbeya City ilipopanda Ligi Kuu na kucheza katika viwanja mbalimbali nchini msimu wa 2013/2014. Popote walipokwenda, popote walipopita, ungeweza kusikia harufu ya Mbeya City. Joto lao lilikuwa kali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani