Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal Union, JKT Ruvu vitani Ligi Kuu leo

TIMU ya Coastal Union na maafande wa JKT Ruvu leo zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu bara. Coastal Union itamkaribisha ndugu yake African Sports kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga huku JKT Ruvu ikiwa mwenyeji wa maafande wenzao wa Prisons Mbeya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

COASTAL UNION, JKT RUVU ZATOKA SARE YA 2-2

Golikipa wa JKT Ruvu, Shaban Dihile akipishana na mpira uliopigwa na mchezaji wa Coastal Union, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)
 Issa Ngao (kushoto), akimtoka mchezaji wa Coastal Union ya Tanga.
  Hamis Shango (kushoto) akichuana na Chidiebere Abasalim.
 Mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Chidiebere Abasalim (katikati) akiwania mpira na...

 

9 years ago

TheCitizen

Coastal Union, JKT Ruvu eye first victories

The two sides are winless after five rounds into the new season

 

9 years ago

Mwananchi

Ligi ya JKT Ruvu, Coastal

Ni Ligi Kuu bila Yanga, Simba na Azam, klabu tatu zenye wachezaji wao wengi katika timu ya Taifa , ‘Taifa Stars’.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA LIGI KUU BORA: Coastal Union, wakati wa kukimbia na siyo kutembea

Msimu mwingine kwa Coastal Union. Wagosi wa Kaya. Maisha yanataka nini zaidi kwao? Wameendelea kuwepo katika Ligi Kuu wakipunga upepo na msimu uliopita walishika nafasi ya tano. Coastal wanarudi katika msimu mwingine wakiwa na matumaini mapya zaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : JKT Ruvu iache kuishi kama Mlima Kilimanjaro

Maisha lazima yabadilike. Wakati mwingine hata jiwe husogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Inategemea kama limepigwa teke na mwanadamu, au limetumika kwa kuokotwa na kumrushia ndege aliyekaa katika mti.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI TANGA IKITOKEA PEMBA ILIKOWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU


Askari wa usalama barabarani akiongoza msururu wa mashabiki wa Coastal Union ilipowasili jijini Tanga ikitokea Pemba ilikoweka kambi ya mwezi mzima kujiandaa na ligi kuu ya VODACOM

Mashabiki wa Tanga wakiipokea timu yao ya Coastal UnionMKUU wa wilaya ya Tanga, Mhe Halima Dendego leo ameongoza mapokezi ya timu ya Coastal Union yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ndege jijini Tanga ambapo timu hiyo ilikuwa ikitokea Visiwani Pemba ilipokuwa imeweka kambi kwa muda wa mwezi mzima.Akizungumza wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani