Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa

Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA VIJANA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limefungua kozi ya makocha wa mpira wa miguu kwa watoto na vijana kwa nchi nzima kwa lengo la kuhakikisha vijana wengi wanapata nafasi ya kufundishwa mpira na kuucheza mpira kuanzia katika umri mdogo.
Akifungua kozi hiyo, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine amesema ili nchi/Taifa lifanikiwe katika soka ni lazima kuwekeza katika mpira wa watoto na vijana ambao makocha hao ni sehemu ya uwekezaji huo.“Tumekua na mashindano ya Taifa U-13, kikosi cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kuongeza makocha timu ya ngumi

Shirikisho la ngumi nchini Tanzania lina mpango wa kuongeza makocha watatu katika kambi ya timu ya taifa kumsaidia kocha mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

ZFA yazibana timu kuajiri makocha wa makipa

CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa kimezitaka timu kujipanga kuwa na makocha wa makipa ili kila timu iwe na mwalimu atakayeshughulikia makipa pekee.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunahitaji Bunge linalojali maslahi ya taifa

BAADA ya Uchaguzi Mkuu. Tumempata Rais, wabunge na madiwani. Kinachobaki sasa ni kazi.

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAIRUKA KIMANGA TAARIFA YA CHAMA CHA MAKOCHA TAFCA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limesema taarifa iliyoandikwa na Gazeti moja la tarehe 15, Mei 2015 yenye kichwa cha habari “Nkurunziza ameweka picha mbaya katika soka” haina uhusiano na TFF.  Katika taarifa hiyo katibu wa chama cha makocha nchini (TAFCA), Michael Bundala amenukuliwa akihusisha masuala ya mpira na hali ya kisiasa nchini Burundi.  TFF imesikitishwa na kauli hii na inajitenga nayo. Kwa kua aliyetoa kauli hii ni mwanafamilia ya mpira wa miguu nchini, uongozi wa TFF...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makocha 40 wasaka vipaji Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeteua jopo la makocha wazawa 40 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar kung’amua vipaji katika mkakati wake wa kuboresha timu ya taifa, Taifa Stars....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani