Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZFA yazibana timu kuajiri makocha wa makipa

CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa kimezitaka timu kujipanga kuwa na makocha wa makipa ili kila timu iwe na mwalimu atakayeshughulikia makipa pekee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Makocha 20 wa makipa wananolewa

WALIMU 20 wa makipa wanatarajiwa kupatiwa mafunzo yaliyotarajiwa kuanza jana usiku visiwani Zanzibar, ambayo itachukua siku tano.

 

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

10 years ago

CloudsFM

Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa

Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kuongeza makocha timu ya ngumi

Shirikisho la ngumi nchini Tanzania lina mpango wa kuongeza makocha watatu katika kambi ya timu ya taifa kumsaidia kocha mkuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Ratiba VPL yazibana Simba, Yanga

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu ujao, imeonekana kuzibana timu za Simba na Yanga ambazo zitacheza mechi nyingi ugenini kwenye mzunguko wa pili tofauti na mabingwa watetezi, Azam FC.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inaonesha Simba na Yanga zitacheza mechi saba nyumbani kwenye mzunguko wa kwanza, huku zikicheza mechi saba ugenini mzunguko wa pili.

Maximo

Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yazibana wizara za Ardhi, Maliasili

Lembeli JamesKAMATI ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imezitaka Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Maliasili na Utalii, kuhakikisha zinamaliza mgogoro wa ardhi uliopo katika eneo la Hifadhi ya Saadani bila kulitumia Bunge kwa maslahi yao binafsi.

 

11 years ago

Mwananchi

Cecafa yaibana ZFA

>Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekishukia Chama cha Soka cha Zanzibar (ZFA) kwa kuandaa mashindano ya Kombe la Mapinduzi kinyume cha taratibu.

 

11 years ago

Mwananchi

ZFA waikomalia Yanga

>Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ameliagiza Baraza la Michezo visiwani hapa (BMZ), kukutana na lile la bara (BMT) ili kujadili kitendo cha Yanga kujiondoa kwenye michuano ya Mapinduzi dakika za mwisho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani