makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 May
Tanzania kuongeza makocha timu ya ngumi
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Barcelona kunoa makocha Karume leo
MAKOCHA wa timu ya FC Barcelona ya Hispania, wamewasili nchini kutoa mafunzo ya mbinu za soka kwa makocha wa Tanzania. Ujio wa makocha hao wanaoshirikiana na bia ya Castle Lager,...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu
MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa
9 years ago
Habarileo12 Sep
ZFA yazibana timu kuajiri makocha wa makipa
CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa kimezitaka timu kujipanga kuwa na makocha wa makipa ili kila timu iwe na mwalimu atakayeshughulikia makipa pekee.
11 years ago
GPL24 Apr
UZINDUZI WA MAFUNZO YA AIRTEL RISING STARS YANAYOONGOZWA NA MAKOCHA WA MANCHESTER UNITED YAFANA
9 years ago
VijimamboMALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
11 years ago
Mwananchi09 Aug
ELIMU YA MICHEZO: Makocha Tanzania mbumbumbu
9 years ago
Habarileo02 Sep
Makocha 20 wa makipa wananolewa
WALIMU 20 wa makipa wanatarajiwa kupatiwa mafunzo yaliyotarajiwa kuanza jana usiku visiwani Zanzibar, ambayo itachukua siku tano.