Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barcelona kunoa makocha Karume leo

MAKOCHA wa timu ya FC Barcelona ya Hispania, wamewasili nchini kutoa mafunzo ya mbinu za soka kwa makocha wa Tanzania. Ujio wa makocha hao wanaoshirikiana na bia ya Castle Lager,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu

MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...

 

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kunoa makali mbele ya Orlando Pirates Sauzi leo

Simba inashuka uwanjani kuikabili Orlando Pirates ya Afrika Kusini ukiwa ni mchezo wa maandalizi ya mechi yao dhidi ya Yanga inayatarajiwa kufanyika Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.



By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. USULI:

Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME,  alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.

Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.

Je, Mwanamapinduzi huyu...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Karume kutangaza nia leo

Balozi Ali Karume.JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA KARUME AZINDUA MICHUANO YA KARUME CUP

Makamu Mwenyekiti wa Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) Ramadhani Khamis Salmin akizungumza wakati wa ufunguzi huu wa michuano ya Kombe la Karume Cup uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar na kushirikisha timu 17 za mchezo huo kwa Zanzibar 6 zikiwa za Wanawake na 11 za Wanaume. Mlezi wa Michuano ya Kombe la Karume Cup Mama Shadya Karume akitowa shukarani zake kwa Chama cha Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) kufanikisha michuano hiyo kwa kipindi chote cha miaka 12 kwa kumuezi Mzee Abeid...

 

10 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 43 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KARUME

Leo April 7, 2015 ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume tangu alipouwawa kwa kupigwa risasi siku kama ya leo mwaka 1872.

 

9 years ago

Habarileo

JKT Ruvu, Mwadui kucheza Karume leo

TIMU ya JKT Ruvu ya Pwani leo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui leo katika hitma na dua ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume akitia ubani wakati wa hitma ya kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,wengine pia ni wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani