Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Karume kutangaza nia leo

Balozi Ali Karume.JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI KARUME ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO

Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.Picha na Haroub Hussein

 

10 years ago

Michuzi

Pof.Muhongo kutangaza nia leo.

Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo....wakiendelea kuingia uwanjani hapo.Uwanja umependeza.

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo kutangaza nia kuwania urais leo

Profesa Sospter MuhongoWAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Kutangaza Nia Leo, Viwanja Vya Kinondoni Bwawani

Tuungane rasmi nami katika kutangaza nia kinondoni. Ndugu zangu punde mtakuwa na mkutano mkubwa kinondoni bwawani. Sehemu ambayo mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi apo. So natangaza nia rasmi kuwa naweza kuwa mfano kwa vijana wenzangu. Kinondoni tumekuwa na mateso mbali mbali.

Kwa mfano mafuriko akuna kiongozi aliyeweza tatua, bara bara, mikopo midogo midogo kwa kina mama, ajila kwa vijana, ongezeko la ada mashuleni kupanda nani anakemea , uchafu wa wilaya, tiba kwa wazazi wetu leo mzazi...

 

10 years ago

Michuzi

Maandalizi ya hafla ya Mh Samuel Sitta kutangaza nia ya kugombea urais yaiva mkoani Tabora leo.



Adama Fundikira akiwa na mama yake mdogo Mh Samuel Sitta aitwaye Ndisha Said FundikiraWayege wakicheza ngoma
Habari na picha kwa hisani ya Mkala Fundikira wa TBN central zone

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI MAHIGA KISHATANGZA NIA YA URAIS CCM LEO HII

Balozi Mahiga aliyekuwa muwakilishi wa Tanzania UN akiwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein, Balozi Mahiga ametangaza nia ya urais baada ya kujitasmini kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania kupitia chama tawala CCM.

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja akanusha kutangaza nia

Wilium NgelejaMBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, amesema kamwe hajawahi kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani